![]() |
| Ghali: Kiasi cha £60m za Angel Di Maria kuja Manchester United toka Real Madrid imefanya jumla ya pesa za kusajili kikosi cha United kuwa zaidi ya £400m |
Showing posts with label SPORTS. Show all posts
Showing posts with label SPORTS. Show all posts
Thursday, August 28, 2014
Kikosi cha Timu ya Manchester United Ndicho Chenye Gharama Zaidi Kwenye Premier League kwa Sasa
Tuesday, August 12, 2014
Picha ya Steven Gerrard Alipokuwa Akishangilia Liverpool Ilipofunga Goli Kwenye Mechi Dhidi ya Fulham Yashinda Tuzo ya Picha Bora Msimu Uliopita [PICHA]
Picha iliyopigwa na mpiga picha wa Sportsmail, Kevin Quigley, imeshinda tuzo ya picha bora ya Premier League kwa msimu uliopita, pale alipompiga nahodha wa Liverpool Steven Gerrard alipokuwa akishangilia mara baada ya kufunga kwenye mechi ya ugenini walipocheza na Fulham msimu uliopita.
Tuesday, June 10, 2014
Jennifer Lopez Kutoimba Kwenye Ufunguzi wa Kombe la Dunia
Mwanamuziki Jennifer Lopez hatoweza kuimba wimbo rasmi wa Kombe la Dunia kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo nchini Brazil, Fifa imetangaza.
Monday, June 09, 2014
Filippo Inzaghi Achukua Nafasi ya Clarence Seedorf Kuifundisha AC Milan
Klabu ya AC Milan amemfukuza kazi kocha wake Clarence Seedorf baada ya kipindi kisichozidi miezi mitano toka ashike nafasi hiyo, huku ikimtaja Filippo Inzaghi kama mrithi wake.
Mchezaji huyo wa zamani wa Italia Inzaghi, 40, amesaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu hiyo huku akiachana na kazi ya kufundisha timu ya vijana ya timu hiyo.
Mchezaji huyo wa zamani wa Italia Inzaghi, 40, amesaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha timu hiyo huku akiachana na kazi ya kufundisha timu ya vijana ya timu hiyo.
Tuesday, June 03, 2014
David Beckham Anafikiria Kurudi na Kuendelea Kucheza Soka
David Beckham amesema anafikiria kurudi na kuendelea kucheza soka. "Naanza kujifikiria binafsi je naweza kucheza tena? Hivi kweli naweza kurudi? Je nitaweza kutoka kwenye kustaafu na kuanza kucheza?'" alisema Beckham.
Monday, June 02, 2014
Etoo Ampa Kijembe Kingine Mourinho kwa Aina ya Mtindo ya Ushangiliaji wa Kibabu Kizee [PICHA]
Mchezaji huyo mwenye miaka 33 kwa mara nyingine tena ameonekana kumpa kijembe meneja wa timu ya Chelsea, Jose Mourinho, mara baada ya kufunga goli na kushangilia kwa mtindo wa kibabu kizee walipocheza dhidi ya Ujerumani siku ya Jumapili.
Thursday, May 29, 2014
Malcolm Glazer Aliyekuwa Mmiliki wa Manchester United Afariki Dunia
Glazer, aliyeinunua United mwaka 2005, pia anamiliki timu ya kwenye ligi ya NFL iiitwayo Tampa Bay Buccaneers, ambao ndio waliotangaza habari ya kifo chake kwenye mtandao wao.
Saturday, April 19, 2014
Yaya Toure: Asema Anastahili Kuheshimika Zaidi ya Anavyoheshimika Sasa
Mchezaji wa timu ya Manchester City na Ivory Coast kiungo Yaya Toure anaona ya kwamba haesabiki kama ni kiungo bora Duniani kwa sababu anatokea Africa.
Wednesday, April 16, 2014
Kutana na Mchezaji Mwenye Miaka 18, Mlinzi wa Chelsea Anayelipwa £20,000 kwa Wiki Ambaye Hajawahi Kucheza Kwenye Kikosi cha Kwanza cha Timu.. na Pia Hategemei Kucheza kwa Siku za Karibuni
Anaitwa Andreas Christensen, ambaye hakuna mtu aliyewahi kumuona uwanjani, ametimiza umri wa miaka 18 mnamo April 10. Analipwa £20,000 kwa wiki huku akiwa hajawahi kucheza kwenye kikosi cha kwanza cha timu yake ya Chelsea.
Monday, April 14, 2014
Liverpool Kileleni Ikiifunga Man City 3-2
Wachezaji wa Liverpool wakishangilia mara baada ya Philippe Coutinh kuandika bao la tatu lililoipa timu yake bao la ushindi kwa jumla ya magoli 3-2.
Wednesday, April 09, 2014
HABARI YA KUSIKITISHA: Nguli wa Mchezo wa Mieleka wa WWE, Ultimate Warrior Afariki Dunia
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwenye mtandao wa WWE, nyota huyo wa mchezo wa mieleka amefariki akiwa na miaka 54.
Rekodi Mbovu ya Bayern Dhidi ya Timu za Uingereza Itatusaidia Kupata Ushindi - Asema Moyes
Pale unapokutana na mtihani mkubwa kwenye taaluma yao, ni vyema wakati mwengine kutumia njia ndogo mbadala.
Hapo jana usiku ndani ya Allianz Arena, David Moyes alialikwa kwenda kuangalia rekodi za hivi karibuni za Bayern Munich dhidi ya timu za Uingereza na kupata tumaini.
Hapo jana usiku ndani ya Allianz Arena, David Moyes alialikwa kwenda kuangalia rekodi za hivi karibuni za Bayern Munich dhidi ya timu za Uingereza na kupata tumaini.
Chelsea Yaiua PSG Dakika za Majeruhi na Kutinga Nusu Fainali [PICHA]
Tuesday, April 08, 2014
Howard Web Apigwa Chini Kuchezesha Pambano la Liverpool na Man City Huku Mark Clattenburg Akipewa Nafasi
Refa toka Uingereza atakayechezesha Kombe la Dunia Howard Webb, amepata pigo baada ya kuondoshwa kuchezesha mechi kati ya Liverpool na Manchester City.
Sunday, April 06, 2014
Brendan Rodgers Kutumia Uzoefu Wake Alipopanda Mlima Kilimanjaro Kuisaidia Liverpool Kutwaa Ubingwa
Brendan Rodgers anaamini bado hayupo tayari kusherehekea ubingwa wa Liverpool kwa kuweka bendera ya ushindi wa Ligi Kuu ya Uingereza katikati ya Anfield.
Jamaa huyu ambaye aliwahi kupanda mlima Kilimanjaro ameonya kwamba bado kuna kazi kubwa ya kufanya ili Wekundu hao waweze kusherehekea ubngwa wa Ligi Kuu kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 24.
Jamaa huyu ambaye aliwahi kupanda mlima Kilimanjaro ameonya kwamba bado kuna kazi kubwa ya kufanya ili Wekundu hao waweze kusherehekea ubngwa wa Ligi Kuu kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 24.
Monday, March 24, 2014
Picha za Kwanza za Uwanja wa Beckham Unaotegemea Kujengwa Ndani ya Miami [PICHA]
Picha za kwanza za uwanja wa David Beckham unategemea kujengwa ndani ya Miami zimeonyeshwa kwenye MailOnline Sport.
uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 25,000 walioketi, unategemea kujengwa kwenye Ufukwe wa Miami, huku pia ukiwa na mgahawa na ukumbi wa disco.
uwanja huo wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 25,000 walioketi, unategemea kujengwa kwenye Ufukwe wa Miami, huku pia ukiwa na mgahawa na ukumbi wa disco.
Cheki picha zaidi hapo chini...
Friday, March 21, 2014
Ni Mpambano wa Daudi na Goliati - United Wapangwa na Bayern Robo Fainali Ligi ya Mabingwa
Timu ya David Moyes Manchester United wamepangwa kukutana na mabingwa watetezi Bayern Munich kwenye droo lililopangwa leo. Jose Mourinho na timu yake ya Chelsea akikutana uso kwa uso na Zlatan Ibrahimovic na timu yake ya PSG.
Yanga na Simba Zapigwa Faini Millioni 25 kwa Uharibifu wa Viti vya Uwanja wa Taifa
Klabu za Yanga na Simba zimeagizwa kulipa jumla ya sh. milioni 25 kutokana na uharibifu wa viti na vurugu zilizofanywa na washabiki wao kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Al Ahly ya Misri iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Thursday, March 20, 2014
Mke Wangu Ana Shida Kuliko Shida Alizoazo Robben - Pe Guardiola
Kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola ametania kuwa huwa anapata wakati mgumu zaidi kufafanua juu ya mbinu yake ya kubadili wachezaji kwa mke wake Cristina kuliko anavyopata shida hiyo kumueleza mchezaji kama Arjen Robben.
Mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona mara kadhaa amekuwa akiwapumzisha wachezaji wake wenye uwezo mkubwa akiwemo Mholanzi huyo kutokana na ukubwa wa kikosi cha timu aliyonayo.
Mchezaji huyo wa zamani wa Barcelona mara kadhaa amekuwa akiwapumzisha wachezaji wake wenye uwezo mkubwa akiwemo Mholanzi huyo kutokana na ukubwa wa kikosi cha timu aliyonayo.
Thursday, March 13, 2014
Rais wa Bayern Munich Jela Miaka Mitatu na Nusu kwa Kukwepa Kodi
Rais wa timu ya Bayern Munich Uli Hoeness amekutwa na hatia ya kosa la kukwepa kulipa kodi na Mahakama ya nchini Ujerumani siku ya Alhamisi na kuhukumiwa kwenda jela kwa miaka mitatu na nusu.
Wakili wa Hoeness baadae alitangaza kwamba wana mpango wa kukata rufaa kwenye Mahakama Kuu ya haki nchini Ujerumani.
Wakili wa Hoeness baadae alitangaza kwamba wana mpango wa kukata rufaa kwenye Mahakama Kuu ya haki nchini Ujerumani.
Subscribe to:
Posts (Atom)




















