Wednesday, April 09, 2014

Rekodi Mbovu ya Bayern Dhidi ya Timu za Uingereza Itatusaidia Kupata Ushindi - Asema Moyes

Pale unapokutana na mtihani mkubwa kwenye taaluma yao, ni vyema wakati mwengine kutumia njia ndogo mbadala.

Hapo jana usiku ndani ya Allianz Arena, David Moyes alialikwa kwenda kuangalia rekodi za hivi karibuni za Bayern Munich dhidi ya timu za Uingereza na kupata tumaini.

‘Nafikiri ni kitu ambacho kitakuwa kwenye mawazo ya Bayern kwamba timu za Uingereza zimewahi kufika hapa na kupata rekodi nzuri,’ alisema Moyes.

‘Watakuwa na shaka kwenye vichwa vyao. Wao ni mabingwa wa Ulaya ila watakuwa na akili kichwani kwamba wanacheza na timu ya Uingereza. Tutajaribu kuitumia hiyo kama advantage kwetu.’



No comments:

Post a Comment