Showing posts with label PHOTOS. Show all posts
Showing posts with label PHOTOS. Show all posts

Friday, September 26, 2014

Mwanaume Ajichubua Ngozi kwa Kutumia Acid Ili Afanane na Michael Jackson [PICHA]

Jamaa mmoja ambaye ni shabiki mkubwa wa Michael Jackson nchini Brazil ameamua kutumia acid ili kuingarisha ngozi yake ili aweze kufanana na nguli huyo wa muziki wa pop duniani.

Imeelezwa kwamba jamaa huyo hutumia kiasi cha £2,000 kununua vipodozi vya aina mbalimbali ali aweze kufanana na Michael.

Apple Yakiri KUPINDA kwa Simu Mpya ya iPhone 6 Ila Wamesema 'Ni kwa Nadra Sana' [PICHA]

  • Msemaji wa Apple ameeleza kwamba ni wateja wanane tu ndio ambao waliopeleka malalamiko ya kupinda kwa simu zao aina ya iPhone 6 Plus.
  • Kiwanda hicho kikubwa kimesema vitu vipya vilivyoingizwa kwenye simu hiyo mpya ni chuma kisichoshika kutu, sehemu ya kuingizia ya  titanium inserts na kioo kigumu kuwahi kutokea kwenye dunia ya utengenezwaji wa simu. 
Kampuni ya Apple Inc ilijikuta ikiingia kwenye hasara ya kujimudu mnamo siku ya Alhamisi, ikizungumzia kile kilichokuja kujulikana kama 'BendGate' kwa kusema kuwa malalamiko ya wateja juu ya tatizo hilo la iPhones ni machache sana tofauti na ukaribu wa ukweli wenyewe.

Friday, September 05, 2014

Huu Hapa ni Ujio Mpya wa Samsung na Kitu cha Galaxy Note Edge [PICHA]

Haya tena wale wapenzi wa teknolojia hasa gajeti, hapo jana Samsung walizindua flagship yao kutoka familia ya Galaxy note ambayo inakwenda kwa jina la Samsung Galaxy Note edge.

Simu hii ina kioo kilichojikunja tofauti na flat screen tulizozoea, kwa sasa hii ndio highest end phone kutoka Samsung.

Picha zaidi hapo chini..

Tuesday, August 19, 2014

Nicki Minaj na Drake Kwenye Picha Matata za Video Yake Mpya ya Anaconda [PICHA]

Hakika Nicky yuko juu na ataendelea kuwa hivyo.... Utakapopata nafasi ya kuiona video ya wimbo wake mpya unategemea kutoka siku ya Jumatano, hakika utakubaliana nami.

Tuesday, August 12, 2014

Picha ya Steven Gerrard Alipokuwa Akishangilia Liverpool Ilipofunga Goli Kwenye Mechi Dhidi ya Fulham Yashinda Tuzo ya Picha Bora Msimu Uliopita [PICHA]

Picha iliyopigwa na mpiga picha wa Sportsmail, Kevin Quigley, imeshinda tuzo ya picha bora ya Premier League kwa msimu uliopita, pale alipompiga nahodha wa Liverpool Steven Gerrard alipokuwa akishangilia mara baada ya kufunga kwenye mechi ya ugenini walipocheza na Fulham msimu uliopita.

Monday, June 09, 2014

Happy Birthday: The Kokomaster D'Banj Atimiza Miaka 34 Leo

Mkali toka Naija, Dbanj leo ameongeza mwaka mwengine kwenye maisha yake. Hongera kwake na wote waliozaliwa siku na tarehe kama hii akiwemo Chris Wamarya...!

Sunday, June 08, 2014

Msichana wa Bongo Movie Aliyedaiwa Kula Uroda na Mbunge Akana Kuwa Sio Yeye Kwenye Picha Hizo



Picha chafu zinazodaiwa kuwa za star wa filamu nchini Shamsa Ford na mbunge wa Chadema, Salvatory Machemli, zimeanza kusambaa kwa kasi mitandaoni tangu jana.

Picha hizo zinawaonyesha wawili hao wakiwa kitandani kwenye mahaba mazito, hata hivyo picha hizo zinaonekana kutia shaka kuwa sio halisi ni za kutengenezwa ingawa hatuna uhakika kwa asilimia zote kwasababu msichana anayedaiwa kuwa Shamsa Ford ana umbo tofauti na la star huyo.

Kauli ya Kwanza ya Diamond Mara Baada ya Tuzo za MTV Base

Mara baada ya kumalizika kwa tuzo za Mtv Base huku mwanamuziki aliyewakilisha Bongo Diamond Platnumz kushindwa kupata tuzo, kupitia ukurasa wake wa Facebook msanii huyo aliandika hili kama kauli yake ya kwanza.

Thursday, June 05, 2014

Kutaka Kuwa na Makalio Makubwa Kumemponza Dada Huyu, Hebu Mcheki Alivyoharibika

Kwa wale wadada wanaotumia dawa za uongeza makalio yao wakiamini kuwa ndio wataonekana wazuri na kuwavutia wanaume, au haujatumia ila unafikiria kutumia siku moja,angalia hapa alafu utapata jibu utumie au ubaki na maumbile yako ya halisi

Chanzo: Hotnewzdaily

Wednesday, June 04, 2014

Je ni Kweli Kwamba Beyonce Ana Mahusiano ya Siri na Mlinzi Wake [PICHA]

Kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni, inasemekana kwamba Jay Z anapatwa sana na wivu kutokana na ukaribu wa Beyonce na mlinzi wake aitwaye Julius (mtalaka mwenye mtoto mmoja), akidhani kuwa wawili hao wana mahusiano.

Huyu ndiye yule yule mlinzi aliyejaribu kumlinda Jay Z dhidi ya shambilizi la kwenye lifti. Jamaa yupo karibu sana na Beyonce, mara zote mikono yake huwa ipo karibu ya mwanamuziki huyo.

Tuesday, May 27, 2014

Picha za Kwanza za Harusi ya Kim Kardashian na Kanye West Kama Wanandoa [PICHA]

Na sasa, ningependa kukuonyesha picha rasmi za harusi ya Kim Kardashian na Kanye West kama wanandoa rasmi.

Cheki picha zaidi hapo chini...

Sunday, May 25, 2014

Cheki Picha za Harusi ya Kanye West & Kim Kardashian [PICHA]

Hii ni mara ya tatu kwa Kim kuolewa ila kwa Kanye West hii ni mara ya kwanza. Hatimaye wawili hao walifunga pingu za maisha mnamo siku ya Jumamosi May 24 pande za Fort di Belvedere ndani ya Florence, Italy.

Baadhi ya wana familia na marafiki walikuwepo ila ni wale ambao Kanye West kweli aliwahitaji, na baadhi yao hawakufika. Jay Z na Beyonce wa waliingia mitini.

Cheki picha zaidi hapo chini...

Wednesday, April 16, 2014

Mcheki Ronaldinho Akiwa na Mademu Watano Waliovaa Bikini Kwenye Swimming Pool [PICHA]

Nyota wa mpira wa miguu toka Brazili, Ronaldinho kwa mara nyingine tena ameonyesha kwamba naye ni sukari ya warembo, hii ni mara baada ya ku-posti picha hii akiwa na warembo watano waliovaa bikini kwenye swimming pool.

Tazama Kile Wanachokifanya Vijana Wetu Wanapokuwa Club [PICHA]

Je hii ni ndio sehemu ya kula bata? Ni nini hasa kinaendelea hapa na ni kuhusu nini hasa... 

Hivi unaona kile kinachotaka kutokea hapa? Tafsiri kivysko...

Hivi kwa binafsi yako unaweza kufanya hivi ukiwa club...?

Picha Matata za Demu wa Balotelli Akionyesha Mali Zake [PICHA]

Fanya kucheki picha zaidi hapo chini...

Tuesday, April 15, 2014

Lupita Nyong'o na Kivazi cha 'Rainbow' Kwenye Tuzo za Movie za MTV 2014 [PICHA]

Muigizaji wa filamu Lupita Nyong’o alikuwa ni mmoja kati ya watu waliohudhulia Tuzo za MTV Movie 2014, huku akiwa amevaa nguo moja matata na ya kuvutia.

Picha zaidi hapo chini:

Kumbe Serena Williams HAPENDI Kuvaa Nguo za Ndani, Huyu Hapa kwa Bahati Mbaya Mambo Yake Wazi Hadharani [PICHA]

Hii ni moja kati ya hurka mbaya!

Inawezekanaje mwanamke akatoka kwenye shughuli bila kuvaa nguo yake ya ndani?

Urembo au Ujinga...? Cheki Alichokivaa Demu Huyu Akiwa Club [PICHA]

Una ushauri wowote kwa mrembo huyu...?

Nicki Minaj Avunja Kabati kwa Pamba Hatari Kwenye Tuzo za Movie za MTV [PICHA]

Nicki Minaj akionekana mrembo kwenye Tuzo za Movie za MTV akiwa kwenye gauni matata ndani jiji la ya Los Angeles mnamo siku ya Jumapili, Unaionaje... Umeipenda...?

Mcheki hapo chini kwa picha zaidi...