Showing posts with label MILAZOXP. Show all posts
Showing posts with label MILAZOXP. Show all posts

Tuesday, March 11, 2014

Bayern Munich Wasingeshinda Mfululizo Kama Wangekuwa Wanacheza Kwenye Ligi Kuu ya Uingereza, Asema Kipa wa Zamani wa Arsenal Jens Lehmann

Aliyewahi kuwa kipa wa timu ya Arsenal Jens Lehmann anaamini Bayern Munich wasingekuwa tishio na kushinda mfululizo kwa kiasi hicho kama wangekuwa wanacheza kwenye Ligi Kuu ya Uingereza.

Bayern wamepoteza pointi nne tu huku wakifunga wastani wa magoli matatu kwa mchezo mmoja katika mechi zao 24 walizocheza bila kufungwa kwenye Bundesliga msimu huu chini ya Pep Guardiola huku wakiwa kwenye harakati za kulitetea kombe walilolitwaa msimu uliopita.

Wednesday, January 08, 2014

Ciara Aandika Barua ya Wazi Wote Wanaomiliki Blog [MUHIMU]

Hiki ni kipindi cha barua za wazi na mwanamuziki Ciara ameamua kuandika barua moja kwa blogger wote. Inaonekana kuwa amechoshwa vya kutosha na tabia za bloggers wenye mitazamo hasi na maoni yake, ameamua kutumia kalamu yake kuandika barua ya wazi akiwataka watu waache tabia hiyo....

Kupitia Blog yake binafsi Ciara ameandika na hii hapa ni barua kamili....

Monday, January 06, 2014

Licha ya Kuwa na Mchumba Ludacris Azaa na Mwanamke Mwengine

Licha ya kuwa tayari ameshamchumbia demu wake wa siku nyingi aitwaye Eudoxie, hali hiyo hakumfanya Ludacris kushindwa kumpa mimba msichana mwengine.

Wednesday, January 01, 2014

Heri ya Mwaka Mpya 2014 na Ujumbe Toka Kwangu

Heri ya Mwaka Mpya 2014 Kwenu Wote... Na Tuzidi Kuwa Wote kwa Mwaka Huu Kama Ambavyo Tumekuwa Wote kwa Siku Zote.

Naamini Huu ni Mwaka Wetu Maana Unagawanyika Sio Kama Ule...!

Dan Chibo.

Saturday, December 28, 2013

Nyimbo Ishirini Bora kwa Mwaka 2013 [CHATI]

Naomba Unitajie Nyimbo TANO Ambazo kwa Binasfi Yako Unaamini Zilifanya Poa Sana kwa Mwaka 2013, Nyimbo Ambazo Unaona Zinastahili Kuwemo Kwenye Chati ya Nyimbo 20 za Mwaka 2013.

Kisha Tukutane Siku ya Jumapili ya Tarehe 29-12-2013 Kuanzia Saa 8 Mpk 10 Jioni Ndani ya TBC FM, Ili kwa Pamoja Tuzihesabu Nyimbo 20 Bora za Mwaka 2013 Tulizosaidiana Kuziandaa.

Sunday, December 22, 2013

TBC fm Top 20 [CHATI]

TBC FM’s TOP 20
December 22, 2013

Wiki Hii
Wiki Iliyopita
Wiki Chati
Jina La Wimbo
Mwanamuziki
Kilele
1
1
13
Roho Yangu
Richie Mavoko
1xWk2
2
2
12
Pesa
Blue Feat. Becka Title & Akili
1xWk4
3
6
18
Mwambie Mwenzio
Stamina Feat. Darasa & Warda
3
4
3
19
Nakomaa Na Jiji
Shilole
2
5
4
21
I Love You
Kassim Mganga
2
6
8
3
Skelewu
Davido
5
7
7
10
Kibabababa
Makomandoo
7
8
5
15
My Number One
Diamond
1xWk5
9
10
8
Tema Mate
Madee
9
10
9
13
Salamu Zao
Ney Wamitego
7
11
12
7
Siri Ya Mchezo
Fid Q Feat. Juma Nature
11
12
13
6
Utata
Matonya
12
13
11
19
Wasi Wasi
Vumbe
2
14
16
5
Bashasha
Bob Jr. Feat. Vanessa
14
15
14
18
Tupogo
Ommy Dimpoz Feat. J Martin
1xWk3
16
15
20
Weka Ngoma
Darasa Feat. Ditto
8
17
20
2
Come Over
Vanessa Mdee
17
18
17
23
Bila Kukunja Goti
Mwana FA & AY Feat. J Martin
2
19
NEW
23
Nakula Ujana
Ney Wamitego
19
20
18
20
My Baby
Quick Racka Feat. Shaa & Ngwear
6