Showing posts with label EVENTS. Show all posts
Showing posts with label EVENTS. Show all posts

Sunday, June 08, 2014

Diamond Ashindwa Kupata Tuzo za MTV Base

Msanii aliyekuwa akiiwakilisha Bongo kwenye tuzo za MTV Base, Diamond Platnumz ameshindwa kutwaa tuzo mara baada ya tuzo alizokuwa akigombania kuchukuliwa na wanamuziki toka nchi nyingine.
Tuzo ya Best Collaboration ilichukuliwa na Uhuru na wimbo wake uitwao Tjukutcha ambayo amemshirikisha Professor Oskido & Dj Bucks huku tuzo Best Male ikienda kwa Davido kutoka nchini Nigeria.

Kauli ya Kwanza ya Diamond Mara Baada ya Tuzo za MTV Base

Mara baada ya kumalizika kwa tuzo za Mtv Base huku mwanamuziki aliyewakilisha Bongo Diamond Platnumz kushindwa kupata tuzo, kupitia ukurasa wake wa Facebook msanii huyo aliandika hili kama kauli yake ya kwanza.

Friday, February 28, 2014

INASHTUSHA: Wanaume Wawafunga Mademu Zao Minyororo ya Mbwa Kuwalinda Wakiwa Club [PICHA]

Hakika hii inashangaza...! Kwa mujibu wa taarifa za MediaTakeOut, tumekuwa tukisikia juu habari hii na ni kuhusu wale ‘PIMPS’ wa Atlanta wanavyofanya.

Saturday, February 22, 2014

Kutana na Mwanamke Mwenye Ndevu Nyingi Kama Mwanaume [PICHA]

Harnaam Kaur mwenye miaka 23 ni mwalimu msaidizi wa zamani toka U.K. Na kilichotokea tu ni kwamba anajivunia hali kuwa na ndevu kama mwananume. 

Harnaam Kaur ana hali ambayo kitaalamu inaitwa polycystic ovary syndrome inayomfanya ukuwaji wake wa nyweli kwenye mwili wake ufananane na wa mwanaume na alikuwa na miaka 11 ndipo hali hiyo ilipoanza kumtokea.

Wednesday, February 19, 2014

KICHAA JUKWAANI: Miley Cyrus Ajichezea Mwenyewe Live Kwa Steji + Huwezi Amini Vitu Alivyovifanya [PICHA]

Ana miaka 21 tu, ila sijui ni wapi mwanamuziki huyu mahili toka nchini Marekani anaelekea kwa sasa.

Matendo na mambo yake kwa ujumla katika siku za usoni yamekuwa ni ya kushangaza sana, mpaka binafsi huwa najiuliza lengo lake hasa ni nini...? Ni ukichaa, kutafuta umaarufu, mambo kiimani ama...? Nashindwa kupata jibu.

Friday, February 14, 2014

Mwanamke Huyu Alikuwa na Shauku ya Kuwa na Dimpoz na Zimemgharimu £3000 Kuzipata - Angalia Upasuaji Wake [PICHA]

Mwanadada huyu ambaye anasomea sheria ajulikanaye kwa jina la Cherrelle Campbell (picha hapo juu) alikuwa na hamu sana kuwa na dimpoz. Hakukuwa na njia mbadala zaidi ya kufanya upasuaji wa mashavu yake ambao uliomgarimu kiasi cha £3,000 ili kuweza kufanikisha zoezi hilo.

Shuka chini kuangalia picha alipokuwa akifanya oparesheni....

Wednesday, February 12, 2014

MUNGU NI MKUU: Ona Miujiza Mikubwa Iliyoitokea Familia Hii

Hakika Mungu ni mkuu kila wakati na Mungu siku zote ni muaminifu.... Kwa maana familia hii nzuri, inayojulikana kama familia ya Coble, kwenye ajali ya kushtuza, ilipoteza watoto wote watatu, wasichana wawili na mvulana mmoja, kwenye ajali mbaya. Ilihuzunisha sana kwa kwao ikiwaacha wakililia na kupiga kelele ila watoto ndio walishaondoka.

Sunday, February 02, 2014

MAAJABU: Jamaa Afunga Ndoa na Mbwa

Mnamo siku ya Jumatatu historia iliwekwa katika kanisa la Our Lady huko Presidio Francisco jimboni California nchini Marekani.

Wednesday, January 29, 2014

HATARI: Rihanna Ajiachia na Jay Z Akiwa Hajavaa Bra [PICHA]

Pati ya awali ya The Roc Nation kwa ajili ya tuzo za awali za Grammy Brunch ilifanyika LA mnamo siku ya Jumamosi, January 25, 2014 huku ikihusisha nyota wengine toka Hollywood.

Tuesday, January 28, 2014

MAAJABU: Jamani Hivi Nini Kinaendelea Hapa...? [PICHA]

Je hii ni aina ya miujiza ya mambo ya Kiafrika na Waafrika au kuna mtu anajaribu kucheza na akili  zetu kwa kutumia 'photoshop'?

Thursday, January 16, 2014

TENA: Waumini Wanywa Mkojo wa Ng'ombe kwa Ajili ya Kutibu Kansa, Kisukari, Matatizo ya Tumbo na Kuondo Vipara Kichwani [PICHA]

Kwa mujibu wa Daily Mail, Waumini wa Hindu wanaamini kwamba Ng'ombe ni mnyama aliyebarikiwa na wanasema mkojo wake unasaidia kuponya vitu mbalimbali.

Wednesday, January 15, 2014

Avunjika Uume Baada ya Kuanguka Toka Kwenye Mti Alipokuwa Akifanya Mapenzi [PICHA]

Tukio moja la ajabu limetokea hivi karibuni, pale ambapo wapenzi wawili walipoamua kufanya mapenzi wakiwa juu ya mti.

Saturday, January 11, 2014

Ukichaa wa Nicky Minaj Kwenye Picha Akinyonya na Kushikilia Titi [PICHA]

Dizaini kama anamuita Lil Wayne hivi kimtindo, wewe unaonaje...

Kumetokea kuwepo kwa mashindano mengi ya kijinga mojawapo ni hili la nyota wengi kupiga picha zikionyesha utupu wao au mambo ya ajabu wanayoyafanya, wa kwanza alikuwa ni Miley Cyrus, akafata Maheedah na Nicki sasa ameingia kwenye shindano.

Friday, January 10, 2014

Mchungaji Nchini Afrika Kusini Awafanya Waumini Wake Wale Majani [PICHA na VIDEO]

Mchungaji Daniel Lesego wa Kanisa la Rabboni Centre ambalo lipo eneo la Ga-Rankuwa, Kaskazini mwa Pretoria, amewafanya Waumini wa Kanisa lake wale majani alipokuwa akihubiri juu ya nguvu za Mungu kuwa zinaweza kumfanya mwanadamu ale kitu chochote.

Wednesday, January 08, 2014

MAAJABU YA DUNIA: Samaki Aina ya Sato Aingia Tumboni mwa Msichana wa Miaka 12 Kupitia Sehemu za Siri Huko Mara

MAISHA ya mwanafunzi wa kike mwenye umri wa miaka 12, (jina tunalihifadhi), anayesoma darasa la tano Shule ya Msingi Bwanza, Wilaya ya Bunda, mkoani Mara, yako hatarini baada ya kurukiwa na samaki aina ya sato, kuingia sehemu ya siri na kukimbilia tumboni.

Tuesday, January 07, 2014

Nissan Wazindua Aina Mpya ya Tax za London

Watengenezaji wa gari aina ya Nissan wameanzisha aina mpya ya gari za usafiri wa binafsi zilizoitwa London black cab, gari hii ina injini ambayo itakuwa na uwezo mkubwa sana kimazingira mbali zaidi ukilinganisha na wapinzani wake.

Monday, January 06, 2014

NDOA YA MASHOGA - Mtangazji wa Habari Marc Malkin Amuoa Patna wake Fabian Fuentes [PICHA]

Kama ni mpenzi wa kuangalia E! News, basi utakuwa unamfahamu Marc Malkin. Yeye ndiye muhariri mkuu na muandishi mtandao huo wa burudani ambao huwa unatoa habari za nyota wa Hollywood kwa 24/7.

Sunday, January 05, 2014

Akutwa Ameanguka Mbele ya Fremu za Maduka Katika Harakati za Ushirikina Ilala [PICHA]

Mzee mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina mnamo alfajiri ya siku ya Jumamosi alikutwa uchi wa mnama akiwa ameanguka mbele ya nyumba moja iliyopo eneo la Ilala, Sharif Shamba kwa kile kinachoaminika kuwa ni masuala ya kishirikina.

Monday, December 30, 2013

MAAJABU: Kutana na Msichana Atokaye Machozi na Jasho la Damu [PICHA]

Miaka minne iliyopita msichana huyu mwenye umri wa miaka 19, Delfina Cedeno, alianza kupata tatizo hili la ajabu, lililokuwa likimfanya alie na kutoka jasho la damu. Kwa kuongeza zaidi, wakati mwengine damu zimekuwa zikitoka hata kwenye kucha na kitovu.

Wednesday, December 25, 2013

Heri ya Krismasi kwa Wadau Wote


Tusherehekee Krismasi hii kwa Upendo, Amani na Utulivu kama Jadi Yetu.....

Nawapenda Sana,

Dan Chibo

25, December 2013