Monday, June 02, 2014

Etoo Ampa Kijembe Kingine Mourinho kwa Aina ya Mtindo ya Ushangiliaji wa Kibabu Kizee [PICHA]

Mchezaji huyo mwenye miaka 33 kwa mara nyingine tena ameonekana kumpa kijembe meneja wa timu ya Chelsea, Jose Mourinho, mara baada ya kufunga goli na kushangilia kwa mtindo wa kibabu kizee walipocheza dhidi ya Ujerumani siku ya Jumapili.

Kitendo hicho cha Eto'o kimekuja kutokana na Mourinho kutia shaka juu ya umri wa mchezaji huyo, mshambuliaji huyo naye kwa mara nyingine tena alishangilia kwa mtindo huo kwenye mechi ya kirafiki ya Cameroon iliyoisha kwa sare ya 2-2 dhidi ya Ujerumani.

No comments:

Post a Comment