Saturday, April 19, 2014

Yaya Toure: Asema Anastahili Kuheshimika Zaidi ya Anavyoheshimika Sasa

Mchezaji wa timu ya Manchester City na Ivory Coast kiungo Yaya Toure anaona ya kwamba haesabiki kama ni kiungo bora Duniani kwa sababu anatokea Africa.

Toure, 30, amefungga jumla ya magoli 22 msimu huu, akiisaidia timu yake ya City kushinda Kombe la Ligi na kuwa moja kati ya timu zinazofukuzia ubingwa wa Premier League.

No comments:

Post a Comment