Thursday, October 31, 2013

HABARI YA UKWELI YA MAISHA: Ilikuwaje Mwanamke Huyu Alilazimishwa Kufanya Mapenzi na Mbwa na Farasi (MUHIMU ISOME)


Mwanzoni wakati Internet ilipokuja kwenye jamii ya watu wa Afrika, watu wengi waliifurahia sababu ilisaidia kupunguza msongo wa huduma za mawasiliano dunia nzima, pia iliwezesha kuboreka na kuonekana kwa umuhimu wa mawasiliano kwa ujumla.

Iliwasaidia watu wengi kuweza ku-chat, kutuma mails na hata kusaidia katika shughuli mbalimbali za kibiashara. Na kadiri muda ulivyozidi kwenda wasichana wengi walikuja kugundua wanaweza kuitumia internet kwa ajili ya kuweza kuwapata marafiki wa ku-chat au hata wenza wa maisha.

Baadhi ya wasichana wamefaidika kwa kiasi kikubwa kwa kuitumia internet kuweza kuwapata watu wa kufunga nao ndoa au kuwa nao kimahusiano. Baadhi wameingia kwenye mitego toka kwa watu wa nchi za Magharibi hadi kufikia hatua kujuta kwa nini waliifahamu internet.

Hii hapa ni stori ya kweli inayomuhusisha msichana mmoja Mcameroon aliyefahamika kwa jina Elvire Axelle Tchamakoua.

NA HIVI NDIVYO ILIVYOTOKEA;

Axelle ni kahaba ambaye alikuwa akiuzwa kwa wanaume tofauti tofauti na ambaye awali aliamini ndiyo kila kitu kwake jamaa aliyefahamika kwa jina la Jean Claude (Mfanyabiashara wa Kifaransa). Hakujali kuwahudumia wateja wake kwa huduma za mbele au nyuma. Kwake yeye matumizi ya condom akiwa kazini ilikuwa haijalishi kwa maana iliwezesha yeye na huyo mwanaume wake kuwa wanaingiza hela zaidi. Amekuwa akifanya kazi hii kwa kitambo mpaka akawa ameizoea hali hiyo. Kitu cha kushangaza ni kwamba, Exelle ni msichana mdogo mwenye umri wa miaka 24 na ana cheti cha mafunzo ya mapambo na urembo. Iweje msichana mdogo kwenye umri wake awe na tamaa ya kupata hela za haraka? Ni swali ambalo watu wengi wamekuwa wakiuliza.

Kwa mujibu wa taarifa alikutana na huyo bosi wake, Jean Claude kwenye mtandao mnamo mwezi Oktoba 2011. Walikuwa na chat za kawaida kama ambavyo mtu mwengine yeyote anavyoweza kuwa anachat na mtu asiyemfahamu. Jean Claude alimueleza msichana huyo kwamba yeye ni mfanyabiashara anayeishi Marseille (Ufaransa) na ni mtu wa biashara za kuingia na kutoka. Axelle ambaye alifikiri kwamba amepata mwanaume wa maisha yake aliendeleza mawasiliano na Jean Claude Fayard na ilipofika mwezi Machi 2012 jamaa alikwenda kumtembelea msichna huyo kwao Cameroon. Kulikuwa na sherehe kubwa kwenye makazi ya shangazi yake Axelle yaliyopo Santa Barbara ndani ya jiji la Yaounde. Siku mbili tu alizokaa Cameroon, Jean Claude akamchumbia Axelle na kumuoa kwa ndoa ya asili na ya Kanisani. Ndoa zilifanyika tarehe 18 na 20 ya mwezi Machi 2012.

Jean Claude alifanya maandilizi yote ya safari kisha wote wawili wakasafirina kwenda Ufaransa tarehe 21 Machi mwaka huo huo. Jamaa pia aliwapa familia ya Axelle hela ya kutosha kwa ajili ya kujikimu. Ila hawakujua kwamba walikuwa wanamuuza binti yao kwenye biashara ya Utumwa wa ngono, familia kwa furaha na moyo mmoja ilibariki jambo hilo na kuwaaga nao wakaelekea Ufaransa.

Ukweli juu ya mpango huu ni kwamba Jean Claude ni dalali wa biashara ya ngono (pimp) ambaye huwa anakuja Afrika na kuchukua wasichana kisha kuwapeleka kufanya utumwa wa kazi ngono nchini Ufaransa. Sababu Axelle hakuwa anafahamu juu ya hili, hakika katu asingetamani hata kufahamua internet ni nini maisha mwake. Kwani mara baada ya wawili hao kufika nchini Ufaransa, waliishi kwenye kwenye mji uliojulikana kama Clermont Ferrand kwa muda wa miezi 9 kabla ya kuhamia sehemu nyingine mpya iliyojulikana kama Lourdes. Ni kwenye mji huu ambapo Axelle alikutana na maisha magumu ambayo hakuwahi kuyafikiria maishani.

Siku chache baada ya kuwasili Lourdes, mwanaume mmoja aligonga hodi na kuingia ndani akisema alihitaji kuonana na Jean Claude. Maskini Axelle alichofahamu yeye ni kwamba, mgeni yule alikuwa ni mfanyabiashara mwenzake na mume wake.  Wakati Axelle akimuita mume wake huku akiwa anamuangalia mgeni, alishtushwa na na kauli ya mume wake iliyomwambia "fanya lolote ambalo mgeni atakutaka ufanye".

Siku chache baadae mara baada ya kutoka kazini, Jean Claude alimkalisha chini Axelle kisha akampa masharti ya kazi. Alimueleza kwamba anatakiwa kulipa hela zote alizotumia walipokuwa Cameroon. Alipiga mahesabu yaliyozidi euro 3,000, na atafanya kazi naye kwa miaka miwili mbele. Axelle ambaye ilikuwa haongei alihisi kama alikuwa anaota. Hali ilikuwa mbaya zaidi kwani Jean Claude alikusanya kila kitu cha msichana huyo vikiwemo vitu binafsi na dokumeti zake kisha akavificha. Pia msichana huyo alizuiliwa kupiga simu ya aina yoyote nje.

Kila siku alikuwa na wateja wa kiume ambao walikuwa wanakuja kwa ajili ya huduma za mbele na nyuma kwa muda wote walipohitaji huduma. Aliamrishwa kufanya chochote wateja walichohitaji. Walikuwa hawatumii kinga yoyote walipokuwa wakijamiiana. Siku moja Jean Claude alirudi nyumbani akiwa na mteja aliyekuja na mbwa. Jamaa huyo ambaye alijulikana kwa jina la Loiseau yeye aliweka hela ya malipo kwenye akaunti ya Jean Claude. Axelle ambaye hakuwa anajua kama hili litatokea alisukumwa kwenye chumba na kuamuriwa kufanya ngono na mbwa yule kitendo ambacho alikifanya. Inasemwa kwamba Jean Claude huwa anatengeneza hela nyingi pale Axelle anapofanya ngono na wanyama kitendo kilichofanya dili hizo kuwa za kila siku.

Baada ya kuridhika kwa kuona msichana huyo keshaingiliwa na mbwa, Jean Claude aliondoka na Mr Loiseau wakimuacha Axelle peke yake ndani. Baada ya kujaribu kutoroka kwa mara kadhaa, msichana huyo alifanikiwa kuvunja mlango na kukimbia mtaani ambapo alikutana na Wacameroon wenzake waliokuwa wanaishi kwenye mji huo. Walimsaidia kumpeleka Ubalozini ambapo aliwaelezea mkasa wote. Polisi nao kwa haraka wakafanikiwa kufika nyumbani kwa Jean Claude ambapo walikuta ushahidi uliothibitisha kuwa kweli alimteka msichana huyo pamoja na mashitaka mengine. Mara moja Jean Claude alikamatwa huku akiwa anasubiri hukumu. Wakati huo Axell alipanda ndege na kurudi nyumbani kwao Cameroon na moja kwa moja alipelekwa hospitali kwa vipimo na matibabu zaidi.

Angalia vile ambavyo Internet inaweza kufanya kwa vijana wa nchi zetu, sio kila king'aacho ni dhahabu.

Wapendwa kaka na dada zangu, kama kuna mmoja kati ambaye angeweza kuzisikia baadhi ya stori kusikitisha za Waafrika wanaokimbilia mataifa ya wazungu, hakika sidhani kama mtu ataweza kutaka kimbilia huko pasipo uhakika. Yote kwa yote nyumbani ni nyumbani hata kama serikali zetu na wa wanasiasa hutuangusha.

Nini ambacho binafsi yako unafikiri juu ya hili, nahitaji mchango wako....

TAFADHALI USISAHAU KU-SHRE KWA FAMILIA NA MARAFIKI... UNAWEZA KUWA UNAOKOA MAISHA YA MTU KAMA SIO YA WATU.

1 comment: