Tuesday, June 03, 2014

David Beckham Anafikiria Kurudi na Kuendelea Kucheza Soka

David Beckham amesema anafikiria kurudi na kuendelea kucheza soka. "Naanza kujifikiria binafsi je naweza kucheza tena? Hivi kweli naweza kurudi? Je nitaweza kutoka kwenye kustaafu na kuanza kucheza?'" alisema Beckham.



Unadhani jamaa huyu mwenye umri wa miaka 39 anaweza kufanya kazi hii kwa sasa...?

No comments:

Post a Comment