Showing posts with label VIDEOS. Show all posts
Showing posts with label VIDEOS. Show all posts

Thursday, November 20, 2014

Video ya Wimbo Mpya Diamond Platnumz - Nitampata Wapi [TAZAMA]

Hiki hapa ni kichupa kipya cha msanii mahiri wa Bongo Fleva Diamond Platnumz. Kiaangalie kisha pale chini tiririka na mtazamo wako kwa vile ulivyokiona...!

Thursday, March 27, 2014

Umeshaliona Tangazo la Samsung Alilofanya AY...? Kama Bado Licheki Hapa [VIDEO]

Kama hujabahatika kuliona tangazo jipya la Samsung lililofanya na msanii wa kizazi kipya AY sambamba na warembo wa Kibongo kama Magdalena a.k.a Maggie Vampire licheki hapa.

Hili ndilo tangazo lenyewe...



Wednesday, March 26, 2014

Cheki Video ya Harusi ya Paul Okoye na Anita [VIDEO]

Mmoja kati ya wanaounda kundi la P'Square Paul Okoye amemuoa mpenzi wake bomba aitwaye Anita mnnamo siku ya Jumamosi ndani ya Port Harcourt.

Hii hapa ndio video yake...


Thursday, March 13, 2014

Magoli na Highlights ya Barcelona 2-1 Manchester City [VIDEO]

Barcelona wameingia kwenye hatua ya robo fainali ya Klabu Bingwa Ulaya kwa ushindi wa jumla ya mabao 4-1 dhidi ya Manchester City usiku wa Jumatano.

Icheki video ya magoli na highlights za mechi hiyo hapo chini...

)

Tuesday, March 11, 2014

Kutana na Mapacha Wanaoshea Boyfriend Mmoja na Waliamua Kufanya Upasuaji Ili Wafanane kwa Kila Kitu [PICHA & VIDEO]


Mapacha hawa wenye umri wa miaka 28 Anna na Lucy DeCinque, walizaliwa na kupishana kwa dakika moja huku wakiwa wanashea kila kitu kwenye maisha yao - kuanzia kazi, gari, akaunti ya Facebook na hata boyfriend.

Ikiwa kama haitoshi kuzaliwa mapacha, wawili hawa wakaamua na kufanya upasuaji kiurembo kwa ajili ya kuondoa tofauti ndogondogo zilizokuwa zikiwatofautisha. Wanafanana kwa kila kitu kuanzia lips, matiti na nyusi za kuweka ambavyo vyote hivyo viliwagharimu £130,000.

Jack Bauer Arudi Upya na 24: Live Another Day - Sasa Kuwa na Episode 12 [Cheki Picha na Video]


KWA UFUPI:

Safari hii mashabiki wajiandae kuwaona
Jack na Chloe wakiwa paka na mbwa

Aliyekuwa ajenti wa Serikali Jack Bauer anaweza kuwa mtu asiyetambuliki nchini kwake Marekani, ila jambo la kushukuru ni kwamba, jamaa bado yupo mstari wa mbele katika kuisaidia Dunia akiwa jijini London. Hiyo ndivyo tamthilia mpya ya 24: Live Another Day itakavyokuwa kwenye awamu mpya inayotegemea kuanza kuonyeshwa mnamo May 5.

Monday, March 10, 2014

Mcheki Adam Nditi Alipowachezesha "Tupogo" Wachezaji wa Chelsea [VIDEO]

Mchezaji wa timu (b) ya Chelsea toka Tanzania Adam Nditi, hivi karibuni alibidi awachezeshe  wachezaji wenzake wimbo wa msanii wa muziki wa kizazi kipya toka bongo Ommy Dimpoz uitwao "Tupogo".


Cheki video hapo chini....

Sunday, March 09, 2014

ICHEKI: Hii Hapa ni Video ya Yule Nyoka Aliyemuuwa Mamba Kisha Kummeza [VIDEO]

Huu ulikuwa ni mtiti uliochukua masaa matano ambao uliisha kwa nyoka huyu kuibuka mshindi na huku akimaliza kwa kummeza mamba huyo aliyemzidi maarifa.

Icheki video hiyo hapo chini....

Friday, February 28, 2014

VIDEO: Mrembo wa Kenya Huddah Monroe Ajiachia kwa Miondoko ya Kichokozi kwa Miondoko ya Hatari (18+)

Mrembo toka nchini Kenya na mshiriki wa zamani wa shindano la BBA, Huddah Monroe hivi karibuni kupitia mitandao ya jamii alishea kwa kuposti video moja matata akiwa anafanya yake ya mauno kwa style ya twerk.

Tuesday, February 25, 2014

Chui Avamia Katikati ya Jiji na Kujeruhi Watu Kadhaa Mara Baada ya Kutoroka [PICHA+VIDEO]

Mji mmoja nchini India kwa dakika kadhaa ulikuwa kwenye kizaazaa mara baada ya Chui wa Mwituni kutoroka na kuvamia mjini kisha kujeruhi watu kadhaa na kusababisha kuhamaki kwa watu wa mji huo kutokana na hofu ya usalama wao.

Shuka chini kuangalia video ya tukio hilo na picha zaidi...

Hii Hapa Samsung Galaxy S5 Yenye 16 Mega Pixel na Program ya Kupima Mapigo ya Moyo wa Binadamu [PICHA+VIDEO]

Samsung Galaxy S5 inaonekana kutokuwa na mambo mengi ya ziada tofauti na Galaxy S4, ila hata kama ni ndogo ila ukweli ni kwamba tofauti ipo: Simu hii yenye vitu vipya na vya zamani, camera yake kwa sasa imeboreshwa zaidi ikiwa na 16 mega pixel na ina program maalum ya kupima mapigo ya moyo wa binadamu.

Monday, February 10, 2014

Mcheki Balotelli Akilia Baada ya Kutolewa Kwenye Mechi Dhidi ya Napoli [VIDEO]

Mshambuliaji wa Italia mwenye asili ya Ghana, Mario Balotelli, alitokwa na machozi mnamo siku ya Jumamosi mara baada ya mshambuliaji huyo wa AC Milan kutolewa nje dakika 15 kabla mchezo kuisha kwenye mechi walicheza dhidi ya Napoli.

Wednesday, January 29, 2014

Ronaldinho Gaucho Rasmi Awa Mwanamuziki, Mcheki Kwenye Video ya Wimbo Wake Mpya [VIDEO]

Nguli wa mchezo wa soka ambaye amejizolea mashabiki wengi Duniani kutokana na umahiri wake wa kusakata kabumbu uwanjani Ronaldinho Gaucho hivi karibuni alizindua singo ya video yake mpya ya muziki.

Friday, January 17, 2014

Jamaa Azinduka Mochwari na Kupiga Kelele Masaa Zaidi ya 15 Toka Hospitali Ilipotangaza Kuwa Amefariki [VIDEO]

Wafanyakazi kwenye mochwari moja nchini Kenya walipigwa na butwaa mara baada ya kusikia kelele za kuomba msaada zikipigwa toka kwenye chumba hicho na mtu aliyetangazwa kuwa amekufa.

Shuka chini kuangalia video ya tukio hilo...

Friday, January 10, 2014

Mchungaji Nchini Afrika Kusini Awafanya Waumini Wake Wale Majani [PICHA na VIDEO]

Mchungaji Daniel Lesego wa Kanisa la Rabboni Centre ambalo lipo eneo la Ga-Rankuwa, Kaskazini mwa Pretoria, amewafanya Waumini wa Kanisa lake wale majani alipokuwa akihubiri juu ya nguvu za Mungu kuwa zinaweza kumfanya mwanadamu ale kitu chochote.

Tuesday, January 07, 2014

Friday, December 13, 2013

Mbuzi Azaa Mtoto Mwenye Sura ya Binadamu [VIDEO YA AJABU]


Wakazi wa eneo la Likoni, Mombasa nchini Kenya walipatwa na mshangao mkubwa mara baada ya mbuzi mmoja kujifungua mtoto mwenye sura inayofanana na binadamu.

Wednesday, December 11, 2013

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini Azomewa Kwenye Kumbukumbu ya Mandela [VIDEO]


Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma alikuwa akizomewa na watu wakati alipokuwa anaingia kwenye uwanja wa FNB uliopo Soweto.

Monday, December 09, 2013

Mshabiki wa Manchester United Nchini Kenya Ajiua kwa Kujirusha Toka Gorofani Baada ya Kipigo cha Newcastle [VIDEO]


Jamaa mmoja anayeaminika kuwa ni shabiki wa timu ya Manchester United mnamo siku ya Jumamosi usiku kwenye Jimbo la Pipeline jijini Nairobi, hii ni mara baada ya timu yake kufungwa goli 1-0 na Newcastle.

Polisi wamesema John Jimmy Macharia, mwenye miaka 23, alijirusha toka kwenye gorofa ya saba mara baada ya timu yake kupoteza mchezo mwengine kwenye mechi iliyochezwa Jumamosi jioni.
 

Shuka chini kutazama video ya tukio hili...