| Ukumbi uliharibiwa na washabiki mjini Stuttgart, Ujerumani |
Imeelezwa kwamba mashabiki hao waliokuwa wamelipa tiketi za kiasi cha Euro 25 kwa kiingilio ambapo walihadiwa kuwa show ingeanza saa 4.00 usiku, lakini walijukuta wakisubiri hadi majira ya saa10 usiku ndipo mwanamuziki Diamond alipoletwa jukwaani na promota wake raia wa Nigeria anajiita kama Britts Event.














.jpg)
