Tuesday, April 16, 2013

ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA MTV 2013


Tuzo za 22 za Movie za MTV zimefanyika Hollywood usiku wa kuamkia.

Tuzo hizo zilihusisha vipengele vingi vikiwemo vipengele vya Best Kiss na ile ya Best WTF moment.

Movie mbili ambazo zilingia kwa wingi kwenye washindani wa awali ikiwemo ya “Silver Linings Playbook” na “The Avengers” zote zimefankiwa kupata tuzo.
Chini ni listi ya washindi wa tuzo hizo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo:

Movie of the Year: Marvel’s “The Avengers”
Best Male Performance: Bradley Cooper for “Silver Linings Playbook”
Best WTF Moment: Jamie Foxx and Samuel L. Jackson for “Django Unchained”
Best Shirtless Performance: Taylor Lautner, “Twilight: Breaking Dawn Part 2″
Best Kiss: Jennifer Lawrence and Bradley Cooper for “Silver Linings Playbook”
Best Villain: Tom Hiddleston, “The Avengers”
Best Musical Moment: “Pitch Perfect”
Best Breakthrough Performance: Rebel Wilson, “Pitch Perfect”
Best Fight: Robert Downey Jr., Chris Evans, Mark Ruffalo, Chris Hemsworth, Scarlett Johansson and Jeremy Renner vs. Tom Hiddleston, “The Avengers”
The Trailblazer Award: Emma Watson
The Generation Award: Jamie Foxx
The Comedic Genius Award: Will Ferrell
Best Female Performance: Jennifer Lawrence for “Silver Linings Playbook”
Best Scared As Sh** Performance: “Life of Pi”
Best Onscreen Duo: Mark Wahlberg and Seth MacFarlane, “Ted”
Best Hero: Martin Freeman as Bilbo Baggins in “The Hobbit: An Unexpected Journey”

WASILIANA NA DC

 

Twitter: @danchibo
Instagram: @danchibodc
Facebook Page: Dan Chibo
BBM: 26988be0

MASIKINI MTOTO HUYU

 

Masikini mtoto huyu, hapa anajaribu kumuamsha mama yake ambae bila yeye kufahamu kama tayari amekufa. Kila mtu anaendelea na shughuli zake pasipo mtoto huyu kupata msaada wowote, yaani ni kama vile ni tukio la kawaida sana.
Ni tukio ambalo kila niangaliapo picha hii nashindwa kuvumilia, kwa machozi kunilenga kutokana na huruma inayonijaa rohoni. Tumuombe Mwenyezi Mungu atuepeshe kwa mambo yanayoweza kupelekea kutokea kwa hali kama hii hapa kwetu.
Unadhani ni nini hasa kama si vita na vinavyotokana na chuki zinazopandikizwa miongoni mwetu...
Mwenyezi Mungu amsaidie mtoto huyu aweze kupata chakula, mavazi, makazi na elimu, “Mwenyezi Mungu pia atusaidie na sisi kuendelea kuitunza amani yetu na kutufanya kuelewa umuhimu wake ili tusiingie kwenye hali itakayoweza kupelekea maafa kama haya.”

KAMA KWELI UNAJALI, TAFADHALI SHARE UKURASA HUU KWA WOTE UNAOWAJALI....!

R.I.P HAJI

Marehemu Haji Mohamed


R.I.P HAJI MOHAMED (Mkurugenzi East African Melody)..
Tulikupenda sana ila Allah amekupenda zaidi.
Pole kwa Family ya Haji, Bendi ya East Africa Melody na Wadau wote wa Muziki wa Taarab nchini.

Pumzika kwa Amani HAJI..!

KIPI KINAUMA ZAIDI KATI YA HIVI..?

1. Baada ya kufanya kazi mwezi mzima unafukuzwa kazi bila mshahara.
2. Ukiwa una download kitu kwenye mtandao inafika 99% alafu inagoma.
3. Unaingia na kibomu kwenye pepa halafu unabambwa.
4. Unanunua simu kwa bei kubwa leo hqlafu kesho zinawekwa kwenye promo zinauzwa bei nusu ya ile uliyonunua wewe.
5. Unamualika Demu mkali kwenye dinner unaagiza samaki alafu mwiba wa samaki unakukaba kooni.
6. Una muita demu wako geto kunaniii alafu anakuja na rafiki zake.
7. Unavunja uhusiano na girlfriend au boyfriend wako halafu siku inayofata unampata demu au jamaa mkali kuliko wewe.
8. Unanunua pafyumu kali lakini kwapa bado linatema.
9. Unafanya kazi kwenye kampuni miaka 10 bila kupandishwa cheo na kuongezewa mshahara.
10. Unamdanganya mkaba roba kuwa huna simu halafu inaita.
11. Unagombana na mtu barabarani hhalafu kufika ofisini unapokwenda kuomba kazi unamkuta anakufanyia interview.
12. Kama gari lako linatumia muda mwingi gereji kuliko barabarani.
13. Kwenye pepa matokeo yanatoka umefeli somo unaloliweza.
14. Unaingia kwenye pepa halafu unasahau jina lako la kwanza.
15. Unasajiliwa kama beki kwenye timu ya barani ulaya halafu jaribio la kwanza unapewa kumkaba Lionel Messi.
16. Kama mtoto wako wa pekee anajiunga na JWTZ kisha kupelekwa vitani.
17. Kama ukikosea ukaweka super glue machoni badala ya dawa ya macho.
18. Kama utapiga picha photoshop lakini bado unaonekana mbaya.
19. Kama panya atakula jina lako tu kwenye Cheti chako muhimu.

VIPO VINGI KILICHOBAKI KAZI NI KWAKO..!

DRAKE AKIRI KUMMEGA RIHANNA

Drake na Rihanna
Kwenye mahojiano aliyofanya na kituo kimoja cha radio, mwanamziki wa miondoko ya RnB, amefunguka na kuzungumzia kile ambacho watu wengi walikuwa wanahisi tu, kwamba yeye alishawahi kutembe na mwimbaji wa Bajan na demu wa Chris Brown, Rihanna...

 “Hajiamini sababu mimi nafanya miziki mizuri kuliko yeye... Mimi nipo juu zaidi yake... Kwa namna moja yule mwanamke anayempenda alishakuja kwenye anga zangu na kama mwanaume nikafanya kile ambacho mwanaume wa kweli lazma akifanya kwa mwanamke." Alisema Drake. (Baada ya kummega) sikumvunjia heshima kwa hiyo naamini na yeye hawezi kuongea vibaya kuhusu mimi.

NDEGE YAANGUKA BAHARINI

Ndege Iliyanguka Baharini
 Ndege moja ya nchini Indonesia iliyokuwa imebeba abilia zaidi ya 130 ilikosea njia ya kutua kwenye kiwanja cha ndege cha Bali siku ya jumamosi na kutua kwenye bahari, huku ikiacha idadi kubwa ya watu wakiwa majeruhi.

Abilia walipiga kelele kwa woga wakati ndege hiyo iliposhindwa kutua kwenye njia ya ndege iliyopo kwenye kisiwa maarufu cha Denpasar, huku ikielezwa kwamba hali ya hewa ilikuwa shwari na hakukuwa na tatizo lolote.

Mara baada ya kuanguka kwenye bahari ndege hiyo ilienda na kuelea si mbali na usawa wa njia ya kutulia ndege. “Ndege ilikuwa inakaribia kutua na gafla akaangukia baharini.

Watu ndani ya ndege walihamaki na kuanza kupiga kelele,” alisema Dewi, mmoja kati ya abilia ambae alikuwa na majeraha madogo.

MAONGEZI YA KINAFIKI YA BAADHI YA WANAWAKE

{*WAKIONGEA KWA SIMU*}

Mary: Hello...! Sarah: Hello mpendwa, mambo yako jamani?
Mary: Niko poa shosti, nimeku-miss sana.
Sarah: Jamaniii.... na mimi pia wangu
Mary: Mhh na hapa nakupigia kukufahamisha kwamba baadae ntakuja kwako.
Sarah: Wooow, haina shaka mpendwa, dah nitafurahije jamani, nakutegemea basi mpendwa...!

{*MARA BAADA YA KUKATA SIMU*}

Mary: Naenda kumtembelea tena yule malaya.
Sarah: Huyu mpumbavu anakuja tena, anadhani ntamnunulia vinywaji kwa hela zangu, labda sio mimi.

Wengi hupendana midomoni ila moyoni hakuna kitu kama hicho.

NGURUWE MWENYE VICHWA VIWILI

Nguruwe Mwenye Vichwa Viwili
Nguruwe mwenye vichwa viwili amezaliwa nchini China mapema wiki hii.

Kwa mujibu wa AFP, nguruwe huyo alizaliwa April 10 kwenye kijiji kimoja kilichopo Jiujiang.

Mkazi mmoja wa kijiji hicho aliieleza AFP kwamb hiki ni moja kati ya vitu vya ajabu na aina hii ya wanyama huwa haina maisha marefu.

Imeelezwa kuwa aina hii ya uzazi inawezekana kutokea tena na hata kwa binadamu, ila mmiliki wa nguruwe huyo amekataa nguruwe huyo asiuliwe.

Miezi miwili iliyopita aina kama hiyo ya mnyama alizaliwa nchini Ghana..!

CHEZEA WACHINA

Mchina mmoja alimchukua kahaba na kwenda nae mpaka nyumbani kwake na wakaanza kufanya mapenzi.

 Alipomaliza, alishuka kitandani akaenda dirishani kupunga upepo kisha akapita chini ya uvungu wa kitanda na kutokea upande wa pili wa kitanda, kisha wakaanza tena kufanya mapenzi.

Alipomaliza raundi ya pili, akashuka tena kitandani na kwenda dirishani kupunga upepo kisha akapita chini ya uvungu wa kitanda na kutokea upande wa pili, wakaanza kufanya mapenzi kwa mara nyingine tena.

Alifanya hivyo mpaka raundi ya nane, yule kahaba akamuona jamaa ni noma.

Baada ya raundi ya kumi akaamua nae afanye kama ambavyo yule mchina alikuwa anafanya kila alipomaliza kupiga bao, nae akashuka na kwenda dirishani kupunga upepo kisha akapita chini ya uvungu wa kitanda ili atokee upande wa pili......., unajua nini alikikuta huko chini ya kitanda...?

Wanaume wengine kumi wa kichina wakiwa kama walivyozaliwa...!

HII IMESIMAMAJE...!

SHERIA BARABARANI

 

Na tuone nani ni dereva kweli na anazifahamu vyema sheria za barabarani.

Ni gari lipi kati ya haya matatu linalotakiwa kupita kwanza..?

1. Gari la Njano (B)

2. Gari la Bluu (D)

3. Gari Nyekundu (A)

UKWELI MTUPU

 

"Kama hujakisikia kitu kwa masikio yako au kukiona kwa macho yako, basi usikitafsiri kwa upeo wako mdogo na kukisambaza kwa domo lako kubwa..."

WASAGAJI WATAKA HAKI ZAO

Wasaganaji Wakiandamana
Wasagaji nchini Afrika Kusini wameandamana juu ya sera ya serikali ya nchi hiyo, huku wakitaka kutambulika kwa haki zao.

Je ni haki kuwapa wasagaji uhuru wa kuwa na chama pamoja na ndoa pasipo vizuizi?

Na hii ni nini hasa..! Haki ya Mungu jamani, naona sasa dunia inageuka juu chini...

REEBOK WAVUNJA MKATABA WAKE NA RICK ROSS

Hatimae yametimia, kampuni ya vifaa vya michezo ya Reebok imesitisha mkataba wake na Rick Ross. Sababu kuu ni wimbo wa msanii huyo uitwao U.O.E.N.O ambao mashairi yake yanachochea na kuhalalisha suala la ubakaji. Makundi ya kupinga ubakaji na yale ya wanawake walianzisha kampeni ya kuitaka kampuni ya Reebok kuvunja mkataba na Ross. Licha ya kuomba msamaha leo hii Reebok wametoa tamko la kusitisha mkataba wao na bosi huyo wa May Batch Music.

ISHU NI MAPENZI AU MAISHA...?

Hakika kuna mambo mengi ya ajabu yanaendelea hapa duniani. Hebu mcheki huyu kijana wa kiafrika na huyo anayetaka kumuita mke wake. Bila shaka huyu ni mzee ambae mda wowote anaweza kuiaga dunia...! Upi ni ushauri wako kwa kijana huyu...?

MENEJA NA MUME WA LADY JD GADNA G AZUNGUMZIA JUU YA TWEETs ZA JIDE

KUTOKANA na msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Judith Wambura 'Lady JayDee' kuonekana kutuma 'Tweets' zilizobeba mafumbo huku akitoa mazito ya moyoni juu ya mtu anayemvurugia mipango yake ya kimuziki hakuweza kumtaja jina mume wake Gadna Habash afunguka juu ya 'Tweets' hizo Akizungumza jijini Dar es Salaam hili hivi karibuni Gadna alisema kuwa 'tweets' alizoziweka msanii huyo zinalenga kufikisha ujumbe alioukusudia hususani kwa baadhi ya watu wanaomuwekea mipango mibaya ya kuharibu kazi zake za kimuziki Alisema kuwa wapo baadhi ya washika dau wanaojikita katika maswala ya muziki kwa ajili ya maslahi yao binafsi huku wakimnyonya mwanamuziki bila ya kujali jasho lake na nguvu yake kwa kazi anayoifanya Kutokana na hali ya kunyonywa wasanii na washika dau hao alisema msanii atakapopata akili na kuwa na uwezo wa kugundua kuwa ananyonya na hawezi kufika mbali hali inabadilika kwa kuanza kukandamizwa na kuwekewa vikwazo katika kazi zao "Baadhi ya washika dau wanawaogopa wasanii wakubwa kwa kuwa tishio katika biashara zao hivyo hata wasanii wachanga pia wananyimwa nafasi ya kukua kisanii kwa kuhofia kuja kuwageuka baadaye pindi watakapopata nafasi ya kufanya hilo" alisema Gadna Aliongezea kuwa mfumo wa muziki hauko sawa na upo kwa lengo la kumnyonya msanii hali ambayo inazidi kudidimiza wasanii na muziki wa nchi hii hali inayosababisha muziki unakuwa kwa kusikilizwa redioni na si kwa kukuwa kwa kipato kwa wasanii Alisema kuna hujuma zinazoendelea kwenye soko la muziki zenye lengo la kumnyonya mwanamuziki na kumpa utajili mdau wa muziki sababu hiyo inapelekeea wanamuziki wa nchi yetu kutoendelea katika soko la muziki Lady JayDee hivi karibuni amekuwa akitumia mtandao wa Twitter kwa ajili ya kutuma 'tweets' zenye ujumbe kwa mtu aliyemkusudia ingawa hazikuonyesha wazi wala kutaja jina la muhusaka Hizi ni baadhi ya 'tweets' zilizotumwa na msanii huyo Lady JayDee ?@JideJaydee Hata nyimbo zisipopigwa now mi sio underground, won't complain. Nani asiemjua JayDEe? Am not crazy Lady JayDee ?@JideJaydee Basi mjue kuwa tatizo langu sio nyimbo kutopigwa redioni. Its more than that. U dig?? Lady JayDee ?@JideJaydee Now nategemea nguvu ya uma #diehardfans Lady JayDee ?@JideJaydee Na tweet hivi sbb sikuwahi kulalamika nikaamua kufanya kazi. Lakini kazi inapowekewa uzito wa jiwe isipenye. That's another case...

WEWE SI MTOTO WA MJINI

Hebu fanya kunitajia sehemu moja mashuhuri iliyopo Tanzania yenye herufi 8. Herufi 4 za mwanzo ni chakula ambacho wazungu wanapenda sana kukitumia na hata wabongo nao wameanza kukitumia. Pia herufi zake 4 mwisho ni kiungo muhimu kilichomo ndani ya mwili wako. NAOMBA JIBU: Na tuone kama mjini ulikuja kwa gari la mkaa, mbio za mwenge au kwa basi..!

KWA DADA ZANGU: UTAJUAJE KAMA ANAKUPENDA

Je wewe ni mmoja kati ya wanawake ambao upo na mwanaume karibu na huyo mwanaume hutumia muda mwingi na wewe ila hujui kama ana hisia au yupo kiurafiki tu? Hizi hapa ni njia chache zakufahamu kwamba huyo mtu anahitaji kuwa zaidi ya rafiki: 1. Hukupigia Simu Bila Sababu Kama mwanaume anakupenda, atakupigia simu mara kwa mara, japo kukusalimu na kujua siku yako inakwendaje. Atatafuta kila njia ili aweze kufanya mawasiliano na wewe hata mazingira yawe magumu kiasi gani kwake. 2. Atahitaji Kuwa Karibu Na Wewe Kama mwanaume anakupenda, atafanya kila jitihada kukuona mara kwa mara. Kama kiukweli anakupenda, atahitaji kutumia muda wake mwingi kuwa na wewe, haijalishi katika muda huo ni kitu gani mtakuwa mnafanya pamoja, cha msingi kwake ni kutaka kuwa na wewe. Mwanaume ambae hafurahii kampani yako hakika wewe si wa moyoni kwake. 3. Katika Maisha Yake Huwa Na Muda Kwa Ajili Yako Licha ya ratiba zinazotoka na majukumu tuliyonayo katika maisha ya Dunia ya sasa, kama mwanaume anakupenda lazima atakuuwa muda kwa ajili yako. Hata kama atakupigia simu na kukueleza kama anataka kusafiri kwa kwa siku kadhaa ni lazma ataomba kukuona kabla hajasafiri, atapenda kuongea na wewe kabla hajasafiri, au kukueleza mipango yake pale atakaporudi.Yote hayo ni katika kukuonyesha kwamba yeye ni muaminifu juu yako. 4. Rafiki Zake Watakufahamu Kama huyo mwanaume kiukweli anataka kuwa na wewe, atakutambulisha kwa rafiki zake wa kiume. Marafiki wa mwanaume ni watu wanaomuunga mkono, pia atakutambulisha kwa ndugu zake wa pembeni nje ya wale wa damu moja. Kama mwanaume huwaambia rafiki zake kuhusu wewe na kukutambulisha kwao na kukufanya wewe sehemu ya maisha yake, basi hakika atakuwa na na hisia za kweli na wewe. 5. Atakusikiliza Dalili nyingine ya kuiangalia ni vile ambavyo atakuwa anakusikiliza na kuitikia kile unachomuambia. Mwanaume anayejali kuhusu wewe atahitaji kujua nini unataka kusema na jinsi gani unajisikia kuhusiana na vitu flani. Mwanaume akiwa anakupenda kweli, si tu kwamba atakufanya kuwa sehemu ya mazungumzo yake, ila atakuuliza juu ya mawazo yako, kukusikiliza kwa makini, na kuitikia na kutekeleza kwa dhati kile unachomwambia. MSISITIZO: Njia muhimu ya kufahamu kama mwanaume anakupenda ni kuangalia kwa makini matendo yake. Wanaume tofauti na walivyo wanawake, siku zote ni wazuri sana kwa maneno, ila mwanaume anayekupenda atakuonyesha anachoongea kwa namna yoyote ile. Fungua macho yako na kuwa makini ili usilikose penzi la ukweli. Je wa kwako anafanya haya...? NAAMINI NIMESAIDIA KUTOA MWANGA JAPO KWA KIASI FULANI. HEBU JARIBU KUFANYIA KAZI KISHA UNIPE MATOKEO. Dan Chibo.

JE HAYA NDIO MAPENZI YA DIGITO..?

Hakika hii siwezi kuielezea. Nimejaribu kuiangalia hii picha kwa muda sasa, na yote ni katika kujaribu kutafuta maneno ya kuandika, ila kiukweli nimekosa cha kusema kuhusu hii. Zaidi nikiwaacha ninyi mnipe maelezo yake. Tafadhali fanya kuiangalia picha hii kwa makini kisha nieleze kile unachofikiria...! Karibu kwenye KIJIJI CHA DHAMBI lol...

DAWA YA MOTO NI MOTO

Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla ugomvi unakuwa mkubwa mke anaamua kukusanya vitu vyake kwa lengo la kuondoka. Mume anashangaa anamuuliza, "Unakusanya vitu unaenda wapi?" Mke kwa nyodo anajibu, "Nakwenda kwa mama yangu." Mume naye akaanza kukusanya nguo zake na kuweka kwenye mabegi yake. Mke kwa jeuri akamuuliza mume wake, "Unapaki unakwenda wapi?" Mume akajibu kwa tabasamu, "na mimi nakwenda kwa mama yangu." Mke akauliza tena "Hawa watoto wako watabaki na nani?" Mume kwa kujiamini akajibu "nao waende kwa mama yao kama sisi tunavyokwenda kwa mama zetu." Hiyo imesimamaje......!

KAMA NICK MINAJ

Mambo wadau, mimi naitwa Jeniffer a.k.a Jlo, eti jamani si nafanana kama Nick Minaj eeeeeh...!

DADA ANANIOMBA NIZAE NA MUME WAKE

Mimi na dada yangu ni yatima. Wazazi wetu walifariki wakati nina miaka nane. Dada yangu mkubwa aliolewa miaka 12 iliyopita na hajabahatika kupata mtoto. Baada ya uchunguzi wa muda mrefu, alielezwa kwamba hatokuwa na uwezo tena wa kupata watoto. Jana usiku, alikuja nyumbani kwangu akiniomba nimbebee mimba kwa kutembea na mumewe. Alisema kwa kuwa sisi ni dada wa damu moja, itakuwa kama mtoto ni wa kwake. Hataki mume wake atoke nje kwenda kwa ajili ya kutafuta mtoto, maana anajua mwisho wa siku inaweza kuja kula kwake kwa yeye kutimuliwa kwenye nyumba. Akasema itakuwa ni sawa sababu kiukweli sina mahusiano na mtu yoyote kwa sasa. Pia akanieleza kwamba hilo jambo hajamueleza mume wake, sababu alikuwa anasubiri jibu langu kwanza. Nilichanganyikiwa na sikujua nini cha kumwambia. Nilimuomba anipe muda nifikirie juu ya hilo. Nahitaji ushauri wenu. Wadau tunamsaidiaje huyu dada...?

FACT

2FACE NA PETE YA NDOA

Hakika kwa sasa 2face anayafurahia maisha yake mapya mara baada ya kuoa hivi karibuni. Mcheki kwenye picha hii akiwa kwenye steji anavyowaonyesha washabiki pete yake ya ndoa. Hivi, aliye kwenye ndoa na aliye nje ya ndoa ni yupi mwenye furaha na amani..?

AKACHA UALIMU KUJIKITA KWENYE UMALAYA

Chris Rock alishawahi kusema jukumu la msingi la baba ni kuhakikisha anamlea mtoto wake kiukamilifu, ila Emma Nicholson, 36, amepingana na hilo. Mwanamke huyo toka shule ya msingi iliyopo Hull nchini Uingereza, wiki nane zilizopita aliamua kuachana na kazi hiyo na kuamua na kujikita na shughuli za uchezaji mziki wa kwenye majukwaa (Stripper). “Unapowashawishi vijana wadogo, ni hatari sababu wakati mwengine mnakuwa ni watu wa aina moja," Nicholson alisema, kwa mujibu wa gazeti la Sun. “Watu wapo tofauti na si vyema kuwahukumu.” Nicholson, ambae alianza kucheza mziki miaka saba iliyopita, kwa sasa ameanzisha studio yake ambapo huwafundisha wasichana wengine utamu wa kazi hiyo. "Nilipoanza tu nilifahamu kwamba nahitaji mlingoti wangu hata nikiwa nyumbani," Nicholson alisema, kwa mujibu wa gazeti la Metro. "Mimi na marafiki zangu hutumia mda mwingi wa usiku tukinywa chupa za waini kisha huenda kwenye mlingoti wangu." MLINGOTI: Kama umeshawahi ona baadha ya filamu, kuna wale wasichana kwenye klabu za usiku (Casino) huwa wanazunguka kwenye milingoti.

JOE BARTON ASEMA MAGRETH THACHER HASTAHILI PEPO

Mcheza kiungo wa The Olympique de Marseille ya ufaransa ameitwa na chama cha mpira wa miguu cha Ufaransa baada ya kumuita mlinzi wa timu ya Paris Saint-Germain Thiago Silva 'mvulana msichana bwanyenye' kupitia ukurasa wake wa twitter. Olympique Marseilles wametoa tamko la kuomba radhi kwa niaba ya mchezaji huyo mtukutu, ‘Olympique Marseilles na Joey Barton wanaomba radhi kwa Thiago Silva na klabu yake kwa maneno mabaya yaliyosemwa na mchezaji wa muingereza ambayo aliyaaandika masaa 36 yaliyopita,’ taarifa hiyo ilisema. Uongozi wa Olympique Marseilles umemtaka Joey Barton amalizane na mlinzi huyo toka Brazil. Nae Joe Barton ameahidi kumaliza tofauti zake na Thiago Silva. Wakati huo huo, Joe Barton, amemuelezea wazili mkuu wa zamani wa Uingereza, Margaret Thatcher, ambae alifariki juzi akiwa na miaka 87, kama ni ‘mzee mchawi’ ambaye hastahili kufika peponi’. ‘Naweza sema ‘pumzika kwa amani Maggie’, ila inaweza kuwa sio kweli kabisa. Kama pepo ipo, basi na kule hakutakuwa na nafasi ya huyu mzee mchawi’, Barton pia aliandika kwenye Twitter.

AUZIWA BIKIRA YA KICHINA

Habari DC, Mimi ni mume kwenye ndoa, na nataka nielezee ishu yangu na maumivu niliyoyapata pale nilipogundua kwamba, mke wangu ambae nilikuwa nafikiria ni bikira pale nilipomkuta sio bikira. Mwanzoni kabla hatujaoana alinieleza kwamba yeye ni bikira, ila kitu cha kushangaza nimekuja kugundua kwamba kumbe alikuwa anafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Hakika nilishtuka na kujisikia vibaya, nilimuuliza kama hii inamaanisha kwamba hakuwa bikira kabla hatujaoana, na akasisitiza kwamba alikuwa nayo. Nilijiona mpumbavu na mjinga zaidi ya bwege, kwamba kwa nini niliuziwa mbuzi kwenye gunia. Ni nini unadhani natakiwa kufanya? Kile nilichokuwa nakifikiria ni kweli kumbe hakikuwapo. Kiukweli najiona nimeangamia, nifanye nini jamani...? Tunamsaidiaje huyu mdau japo kwa neno moja tu la matumaini...?

PASUA KICHWA

Mwalimu aliuliza, kama JANA ingekuwa KESHO basi LEO ingekua IJUMAA....! Swali, Mwalimu alisema maneno haya katika siku gani ya wiki....?

NA TUOMBE

Eeeh Mungu, na umjalie mtoto huyu ili aweze kuondokana na maumivu pamoja na mateso anayoyapata..! AMEEN...!

MAAJABU YA CHATU

MAAJABU YA CHATU

CHAGUA MOJA

1. Messi bila Barcelona hamna kitu..? 2. Barcelona bila Messi hamna kitu..? Kumbuka mtaka mawili moja humponyoka...!

RICK ROSS AMBA RADHI KWA KUHALALISHA UBAKAJI

Rapa na bosi wa Maybach Music Rick Ross hatimae ameomba radhi kutokana na mashairi ya wimbo wake wa U.O.E.N.O ambao unachochea na kuhalalisha ubakaji. Rappa huyo ameomba radhi kupitia akaunti yake ya Twitter akiandika ‘I don’t condone rapè. Apologies for the #lyric interpreted as rapè. #BOSS’. Kuomba kwake radhi kumekuja siku moja baada ya kikundi kimoja cha wanawake kuandamana mpaka kwenye ofisi ya Reebok jijini New York. Reebok ni moja kati ya wadau wa Rick Ross. Baadhi ya mashairi kwenye wimbo huo uitwao U.O.E.N.O yanasema ‘Put molly all in her champagne, she ain’t even know it/I took her home and I enjoyed that, she ain’t even know it’.

MTOTO WA JAY Z na BEYONCE 2028

Kwa mujibu wa software za kompyuta, hivi ndivyo ambavyo mtoto wa Jay Z na Beyonce aitwae Blue Ivy atafanania ifikapo mwaka 2028, kipindi ambacho atakuwa na umri wa miaka 16. Ni mzuri au si mzuri...?

RIHANNA AMZABA KIBAO ALIYEMGUSA SEHEMU ZAKE ZA NYUMA

Even though the slap appears real she would not be charged with any law suit simple because the slap scenes were taken from a movie she recently starred in lolsss. Je kujua KIMOMBO ni ISHU sana...?

KAMA INGEKUWA NI GARI UNGELIPA JINA GANI...?

MAMA NA MWANAE WAJAZANA MIMBA NA WANATAKA KUOANA

Mwanamke mmoja na mwanae wamefanya kitu ambacho si rahisi kufanyika. Na sasa wameingia kwenye kwenye mahusiano mazito ya kimapenzi kati yao na wanataka kuonana. Mama huyo aitwe Betty Mbereko hivi sasa ana ujauzito wa miezi sita na anategemea kupata mtoto na huyo mwanae. “Hebu fikiri, kwa jitihada zangu binafsi nimeweza kumpeleka shule mwanangu bila ya msaada wa mtu yoyote. Ila sasa mnamuona mwanangu anafanya kazi mnaanza kunituhumu kwamba nimefanya kitendo kibaya. Acheni na mimi nifaidi matunda ya jitihada zangu” mwanamke huyo alisema. Mbereko (40), toka Mwenezi Masvingo nchini Zimbabwe ambaye ni mjane wa miaka 12 sasa, amekuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtoto wake wa kwanza aitwae Farai Mbereko (23). Amethibitisha kwamba yeye ni mjamzito wa miezi sita na kwamba ameamua ni bora afunge ndoa na mwanae sababu hataki kuolewa na mdogo wa marehemu mume wake. Wiki iliyopita Betty aliieleza mahakama ya kijiji kwamba, mahusiano yao yalianza miaka mitatu iliyopita. Aliendelea kusema baada ya kutumia hela zake nyingi kumsomesha Farai baada ya kifo cha baba yake, aliona ana haki na pesa zake na hakuna mwanamke mwengine mwenye haki na mwanae. Farai alisema, yupo tayari kumuoa mama yake na pia yupo tayari kulipia salio la mahari ambayo baba yake alibakiza kulilipa kwa bibi na babu zake. “Najua baba yangu alikufa kabla hajamaliaza kulipa mahari ya bibi harusi na nipo tayari kuilipa,” alisema. “Ni vyema jamii ielewe kile kinachoendelea sababu ni kweli kwamba mimi ndie niliyempa mama yangu ujauzito. La sivyo watamtuhumu yeye zaidi juu ya hili.” Msamamizi mkuu wa shauri hilo Nathan Muputirwa alisema: “hatuwezi kuruhhusu kitu kama hiki kutokea kwenye kijiji chetu, hii ni kinyume na utamaduni wetu. Kama ni zamani wangeshauwawa wote wawili, ila kwa sasa hatuwezi kufanya hivyo sababu tunawaogopa polisi.” Aliwataka wavunje mahusiano yao ama wahame kijiji hicho haraka. Chakufurahisha zaidi, mama na mtoto wake uamuzi walioamua kufata ni ule wa kuhama kijiji na mpaka sasa hawajulikani wapo walipohamia.

PICHA ZINAZOONYESHA KWELI KAMA KIM KARDASHIAN NI MJAMZITO NA HADANGANYI

Hizi nii picha zilizopigwa kwenye trela ya season mpya ya Keeping Up With The Kardashians, ambayo inategemea kuanza kurushwa June 2.

FUNGUKA

Ni Wazo gani baya ambalo ulishafikiria kutaka kulifanya, ila mwisho wa siku HUKULIFANYA..? 1. Kutoa mimba. 2. Kumuuwa mtu. 3. Kufanya mapenzi na ndugu yako. 4. Kubaka. 5. Kwenda kwa mganga wa kienyeji. 6. Kufanya mapenzi na bosi ili upate kazi au kupandishwa cheo. 7. Kumuambukiza mtu ugonjwa kwa makusudi. 8. Kutaka kujiua. 9. ______?

NIMEIKUTA HII SEHEMU

Biashara zote zilisimama kwa muda katika stendi kuu ya mabasi ya Bomet nchini kenya wikiendi hii baada ya kundi kubwa la wanaume kumvamia mwanamke mmoja aliyekuwa amevaa kingua kifupi na kisha kumvua huku wengine wakimchezea nyeti zake..... Mwanamke huyo ambaye inadaiwa alienda katika stendi hiyo kufanya booking ya basi,alikutwa na kisanga hicho baada ya kuvamiwa na kundi kubwa la wapiga debe na vibaka ambao walianza kwa kumzomea na kumrushia makopo ya maji...... Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo,sakata hilo lilichukua takribani dakika 15 za kumzomea na kumtukana wakiwa wamemzunguka kabla ya kumvua nguo zake..... "Walimzomea na kumtukana vibaya huku wakiwa wamemzingira.Juhudi za wanawake wasamaria wema kumuokoa zilikwama kwa kuwa kundi lilikuwa kubwa na wao walikuwa wanaogopa kufanyiwa hivyo"...Alisema shuhuda huyo Mbali na shuhuda huyo,Bwana Sang naye analielezea tukio hilo kwa kudai kuwa ile sketi ilikuwa ni zaidi ya fupi na pia ilikuwa nyepesi na ndani ndani hakuwa na kitu, hali iliyosababisha wapiga debe hao wamvae na kumvua..... Bwana Sang anadai kuwa kesi nyingi za ubakaji zimekuwa zikisababishwa na wanawake wenyewe kutokana na mavazi yao wanayoyavaa.... Baada ya tukio hilo kupamba moto, polisi walifika japo walichelewa na hatimaye kufanikiwa kumwokea mrembo huo mikononi mwa vibaka hao.... Kutokana na tukio hilo,shirika la maendeleo ya wanawake limelaani vibaya tukio hilo na kuahidi kuchukua hatua kali zaidi endapo udhalilishaji huo utaendelea na kufumbiwa macho....!

BINTI ANASWA AKIFANYA MAPENZI NDANI YA GARI

Hawa binadamu wasiokuwa na aibu walikutwa barabarani wakifanya mapenzi huku wakiwa wameegesha gari lao pembeni Tukio hili chafu lilitokea week end iliyopita wakati binti huyu akitoka club huku akiwa tungi. Alipotoka nje ya ukumbi huo wa starehe, alionekana kumvaa dreva tax mmoja ili ampeke nyumbani..... Mdau aliyeinasa picha hii anadai kuwa walipoondoka naye aliwasha gari yake tayari kwa safari ya kurudi kwake.Wakiwa njiani, alishtuka kuona gari hiyo ikipakiwa pembeni mwa barabara.... Jamaa anadi kuwa alilipita gari hilo na alipofika mbele alikaa kidogo na kuamua kurudi tena na ndipo alipowafuma live wakifanya uchafu huo na kuwapiga picha.... Walipokurupushwa na mwanga wa kamera ya jamaa huyo, mbulula hao waliliondoa gari lao kwa kasi na kutokomea..!

MTU ANAPOTAKA au KUJIUA

Hivi unamchukuliaje mtu ambae hutaka au hujiua? Zaidi na zaidi iwe ni sababu ya mapenzi. Ni akili ya Kibinadamu au ni akili ya Ibilisi au Ushetani..?

LISTI YA WAIGIZAJI 15 WAKIKE WA NIGERIA WANAOINGIZA HELA NYINGI KWA SKRIPTI

Mara nyingi watu wamekuwa wakizungumzia juu ya kiasi cha pesa ambacho wachezaji wa mpira wa miguu na wanamuziki wanaingiza. Kwenye utafiti uliofanywa hivi karibuni umeonyesha kwamba wacheza filamu wa kike wa Nigeria nao hawafanyi vibaya kwa kile wanachokiiingiza mfukoni. Chini ni listi ya wanawake 15 wanaolipwa hela nyingi kwa ushiriki wa sehemu moja ya filamu. 15. Uche Jumbo N450,000 14. Fathia Balogun N500,000 13. Mercy Johnson N600,000 12. Funke Akindele N600-700,000 11. Oge Okoye. N600.000 10. Chioma Chukwuka N700,000 9. Rita Dominic. N1m 8. Ngozi Ezeonu. N1m 7. Joke Silver N1m 6. Stella Damasus. N1m> 5. Kate Henshaw Nuptal N1m 4. Omotola Jolade. N1.5m> 3. Patience Ozonkwo N1.6m 2. Ini Edo N1.8m 1. Genevieve Nnanji N2m Hiyo ni Naira ya Nigeria ambayo kwa fedha ya kibongo inachenjiwa kwa Naira 1 = Tsh. 10

CHRIS BROWN na RIHANNA : Waachana RASMI

Sasa tunaweza kukifunga rasmi kitabu cha mapenzi ya Rihanna na Chris Brown, kwa mujibu wa chanzo cha karibu, imetangazwa rasmi kwamba mahusiano ya wawili hao yamevunjika rasmi kwa sasa. Chanzo hicho kimeongeza na kusema, wawili hao wameachana kutokana na kuchoshana na mapenzi ya kukimbizana kila mara. Chanzo hicho pia kimesema, licha ya kwamba Rihanna ataendelea kumpenda Chris Brown ila ameamua bora aendelee na maisha yake na ataendelea kufuatilia biashara zake na kazi zake. Kwa sasa Rihanna yupo kwenye hatua za mwisho za ziara ya Diamonds, ziara ambayo anategemea kufunya kwenye miji mbalimbali, ambapo kwenye ziara hiyo anategemea kuwa pamoja na watu wake wa karibu, pia hivi karibuni Rihanna anategemea kuzindua pafyumu yake mpya huku akiendelea kujikita zaidi na mambo ya fasheni.

AINA MPYA YA CONDOM

Dunia ya sasa imebadilika kwa mengi kutokana na uvumbuzi wa vitu mbalimbali. Kati ya mifano michache kati ya mingi mpaka sasa tumejionea au hata kusikia juu ya magari ambayo yanauwezo wa kujiendesha yenyewe. Swala la Dunia kufanywa kama kijiji kwa kuunganishwa na kompyuta ni kitu mambacho kila mmoja wetu anafahamu. Ndani ya miaka 100, licha ya kuwepo kwa mabadiliko mengi ikiwa ni moja kati ya maendeleo yake, moja kati ya vitu ambavyo havijawahi kuwa nje ya fasheni ni mipira ya kiume (Kondom). Kwa maana toka ilipogundulika na kuanza kutumika mnamo mwaka 1918 muonekano wake umekuwa ni ule ule. Sote tunafahamu kwamba hakunaga muonekano tofauti wa kondum zaidi ya ule ambao kila mmoja wetu anaufahamu miaka nenda rudi, kitu ambacho hakika kinaifanya kuonekana kama sare dunia nzima, huku lengo kuu moja la kujikinga na kuwa na ngono salama. Mtaalamu mmoja aitwae Daniel Resnic anafikiria kuja kufanya mapinduzi juu ya aina mpya ya kondum, na anategemea kuja na ugunduzi mpya utakaoitwa Origami kama inavyoonekana kwenye picha. Kwa mujibu wa mgunduzi huyo, aina hii mpya ya kondomu itakuwa salama na yenye kuleta raha zaidi ya aina ya sasa inayotumika.

KAMERA YETU

Gari la Warembo wa Miss Utalii likiwa limenasa katika hifadhi ya Saadan. Mazoezi muhimu..!

MJAMZITO AANGUKA TOKA GHOROFANI

Msichana huyu Mjamzito alianguka toka kwenye ghorofa ambapo mme wake anafanyakazi kama mjenzi. Kwa sasa yupo mahututi, na tumuombee tukiamini maombi yetu kwa Mungu yatasaidia kumponya...!

KIM KARDASHIAN AANIKA UJAUZITO WAKE

Kwenye ukurasa wake wa Instagram mchana wa leo, Kim Kardashian ameuhakikishia ulimwengu kwamba kweli yeye ni mjamzito...! Cheki picha zake alizozituma kwenye ukurasa wake wa Instagram..!

MAGRETH THATCHER “IRON LADY” AFARIKI DUNIA

Waziri mkuu wa kwanza mwanamke Uingereza maarufu kama Iron Lady Magreth Thatcher amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 Jumatatu asubuhi baada ya kupata ugonjwa wa kiharusi. Alikuwa waziri mkuu kati ya mwaka 1979 -1990 msemaji wake alithibitishia vyombo vya habari juu ya kifo hicho Jumatatu asubuhi pia kwa elimu alikuwa ni mtaalam wa Chemistry. R.I.P MAGRETH THATCHER “IRON LADY”

KIPI BORA..?

Kuwa na mtu unayempenda sana wakati yeye hakupendi..? Au kuwa na mtu anayekupenda sana wakati wewe humpendi kihivyo...?

VITU KUMI AMBAVYO LABDA HUKUVIJUA au KUVIFIKIRIA

1. Kuna watu si chini ya watano katika Dunia hii wanakupenda sana, kiasi cha kuweza kufa kwa ajili yako na wengine zaidi kumi na tano wanakupenda kwa namna flani. 2. Kitu pekee kinachoweza kumfanya mtu akuchukie ni kutokana na huyo mtu kutaka kuwa kama wewe. 3. Tabasamu lako lina uwezo wa kuleta furaha kwa mtu yeyote hata kama anakuchukia. 4. Usiku unapofika, na kabla hawajalala kuna watu ni lazma wakuwaze wewe. 5. Bila wewe, kuna mtu asingekuwa anaishi. 6. Fahamu kwamba kuna mtu au watu ambao hata huwamfahamu ila wanakupenda. 7. Unapokikosa kitu, fahamu kuna kitu kingine kizuri zaidi kinakuja toka kwenye hicho kitu. 8. Unapokuwa na fikra ya kutokuwa na nafasi ya kupata kile unachokitaka hakika hutokipata, ila kama unajiamini kama sio leo basi kesho utakipata. 9. Mara zote kumbuka sifa na pongezi unazopewa na achana na maneno yanayokatisha tamaa. 10. Jitahidi kuwaeleza watu vile unavyojisikia juu yao, hakika utajisikia raha zaidi pale watakapojua.

WAIGIZAJI HUFANYIKA NGONO WAKIWA LOKESHENI

Waigizaji wa movie nchini Nigeria wamekuwa wakijihusisha na matendo ya ngono pindi wanapokuwa lokeshen, mwanadada muigizaji Mojisola Olaiya maarufu kama Moji Olaiya amefunguka. Chini ni mahojiano kati ya mtangazaji mmoja wa Nigeria aitwae Kayode Aponmade na muigizaji huyo wa kike; Kayode Aponmade aliuliza: Je unakubali kwamba waigizaji huwa mna tabia ya kufanya mapenzi mnapokuwa lokeshen? Moji Olaiya akajibu: "Inawezekana, kufanya mapenzi ni mchezo wa kiutu uzima ambao unahitaji makubaliano ya watu wawili. Ikiwa hakuna hata mmoja aliyewahi kutoka na kusema amebakwa, basi hakuna haja ya kuwa na mjadala juu ya hilo." Kisha akamaliza kwa kusema "hata watu wengine kwenye fani zao hufanya mapenzi, si lazima wawe wameoana, waache waichukulie poa oooh" Je hali hii pia ipo kwa Waigizaji wa filamu za hapa kwetu ama..?

MEDIA DAY BONANZA YAFANA

Tamasha la vyombo vya habari limefanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar, likikukutanisha waandishi na wafanyakazi vyombo mbalimbali vya habari nchini. Mbali na mengi kulikuwa na michezo na mashindano mbalimbali ambapo washindi walipewa zawadi na vikombe toka kwa wadhamini wa Bonanza hilo kampuni ya bia nchini TBL. Bendi za Jahazi Modern Taarab na Extra Bongo zilipamba Bonanza hilo. Pichani nikiwa na watu niliowahi kufanya nao kazi siku za nyuma kwenye kampuni Business Times na Times fm, toka kushoto ni Mi, Sia, Susaz na Fancy...! What a beautful day...!

NI MWAKA TANGU KIFO CHA KANUMBA

Tarehe 7 April 2012 ni siku ambayo Tasnia ya Filamu nchini ilipata pigo ambalo jamii nzima wa Watanzania ilizizima, pigo ambalo pengo lake hakika ni kubwa na si rahisi kusahaulika. Tarehe 7 April 2013 ni Mwaka mmoja tangu The Great STEVEN KANUMBA alipofarika. Mazishi yake ni histori iliyoandikwa na yalidhihirisha kwa kiasi gani Kanumba alikuwa si tu ni The Great, bali ni kipenzi kikubwa cha Watanzania pengine kuliko wengi na kama sio wote kwenye kwenye hiyo ya Filamu. R.I.P STEVEN KANUMBA 8 January 1984 - 7 April 2012. Uliguswa kwa Kiasi gani na kifo cha The Great Kanumba..? Mwenyezi Mungu Amrehemu huko alipo..!

YUPI UNAMKUBALI ZAIDI

Achana na mambo yao nje ya sanaa, tukiwa tunizungumzia sanaa yenyewe kwa maana ya uigizaji wa filamu, je ni yupi kati ya Wema na Wolper unamkubali zaidi..?

KAMA NI GARI UGELIPA JINA GANI

Kama ningelikuwa ni GARI je ungenipa jina gani..?
Dadaz NITE @ Galapo Club Masai (Ilala) Ijumaa hii na Kila Ijumaa..! Dadaz ni Free & Kakaz ni Bk4 tu..!

DARASA HURU

TEACHER: Ok class, lets show our guests how far we've reached, If i say small u say small, smaller, smallest. The class agreed. TEACHER: small CLASS: small, smaller, smallest TEACHER: big CLASS: big, bigger, biggest TEACHER: well done CLASS: done, doner, donest TEACHER (smiled): i mean good CLASS: good, gooder, goodest TEACHER: (mmh..)ok CLASS: ok, okier, okiest TEACHER: no CLASS: no, noer, noest TEACHER: i say enough CLASS: enough, enoughfer, enoughfest TEACHER: stop! CLASS: stop, stopper, stoppest TEACHER: ooh lord CLASS: lord, lorder, lordest..! Ungekuwa wewe mwalimu ungefanyaje?

KIPI HURUSHA STIMU ZAIDI..?

1. Intaneti kuwa Slow 2. Umeme kukatika wakati unaangalia kipindi unachokipenda kwenye TV. 3. Network ya mtandao wa simu kuwa down. 4. Kuingia jikoni na kukuta kweupe na njaa inauma. 5. Chaji ya Betri kuisha kwenye simu. 6. Mitihani. 7. ........

DADAz NITE

Dadaz NITE @ Galapo Club Masai (Ilala) Ijumaa hii na Kila Ijumaa..! Dadaz ni Free & Kakaz ni Bk4 tu..!

VITENGENEZA SHEPU

Si kila msichana umuonae kajazia basi ujue ni yake shepu halisi, kwenye picha ni baadhi ya bidhaa maalumu kwa ajili ya kufanya muonekano wa msichana uonekane umejazia kwa saizi anayotaka. Umewahi kuziona kwa yako macho..? Au unazihitaji..? Kuna mtu namfahamu anazo na anaziuza kwa bei poa..!