Wednesday, August 06, 2014

Hakika Beyonce Hatokuja Kuipenda Hii! Mwanamke Aweka Picha Mtandaoni Inayomuonyesha Mtoto Wake Anafanana na Jay Z [PICHA]

 Picha ya mtoto anyefanana na Jay Z imetapakaa kwenye mitandao kwa sasa, huku mashabiki wakitania juu ya rapa huyo huyo toka Brooklyn kuwa na mtoto wa siri.

Hakuna ushahidi wa zamani unaojitosheleza kuhusu picha hiyo, picha ambayo inamuonyesha mwanamke akiwa anacheka huku akiwa amewashika watoto wawili.

Mbali na mtoto mmoja kuwa na muonekano wa Jay Z, watu wengine wanaamini kwamba yule mtoto mwengine naye kwa namna fulani ana muonekano kama wa nyota wa mchezo wa Golf Duniani,Tiger Woods.

Je umeona kufanana kwao kwa watoto haya na nyota hawa...?

No comments:

Post a Comment