Monday, July 15, 2013

Picha za Utupu za Muwakilishi wa Nigeria Ndani ya Jumba la Big Brother Zavuja Kwenye Mitandao (PICHA)

Beverly

Picha za utupu za muwakilishi toka Nigeria ndani ya Big Brother Africa: The Chase, Beverly Osu zimeanza kuenea kwenye mitandao.


Japo Beverly sio mshiriki pekee ndani ya jumba hiloila picha zake zimeonekana kusambaa kwa kasi ukilinganisha na washiriki wengine ndani ya jumba hilo.


Kuvuja kwa picha hizo kunazua maswali mengi huku watazamaji wengi wakihoji utu na utamaduni wa Kiafrika unavyopotea.


Chini ni baadhi ya picha za nyota huyo wa Big Brother star:




Wapi hili shindano linatupeleka na kutufundisha Waafrika....?

3 comments:

  1. tukiendelea hivi hatufiki popote jamani uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  2. Shndano la bba ndo chanzo kikubwa cha maadili mabovu kwa vjana wa sasa!!! Hii aibu tupu. Kama vp Lifutwe haraka sana, mie silipendi hata chembe.

    ReplyDelete
  3. hili shindano sio maadili yetu nafikiri tuanze kuli jengea hoja

    ReplyDelete