Friday, February 21, 2014

Hizi Hapa Picha za Rihanna Kwenye Birthday Party ya Kutimiza Miaka 26 Hapo Jana [PICHA]

Nyota toka US, Rihanna jana February 20 alifanya pati ndogo kwa ajili ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, pati hiyo ya kishikaji ilifanyika akiwa na marafiki zake pande za Aspen, Colorado. Na kupitia ukurasa wake wa Instagram aliposti baadhi ya picha hizo.

Shuka chini kuangalia picha zaidi...






No comments:

Post a Comment