Monday, December 23, 2013

P.Diddy Kwenye Picha ya Pamoja na Watoto Wake Sita [PICHA]


Diddy inaonekana anataka kusherehekea sikukuu kwa mtindo wa kipekee.

Hivi karibuni alipiga picha akiwa na watoto wake wote sita kwa ajili picha itakayotumika kama kadi ya Krismasi.


Ikiwa kama hauifahamu familia ya Combs:

Toka Kushoto: Chance (5),  Christian (15),  Diddy, Justin (19), D’Lila and Jessie (5)

Katikati chini:  Quincy (22)

Diddy ana watoto wakutosha ila ukweli ni kwamba wote kati ya watoto zake wapo moyoni mwake!

Picha nyingine ya icheki hapo chini;



No comments:

Post a Comment