Tuesday, October 22, 2013

Binti wa Miaka 22 Kwenye Penzi Zito na Baba wa Kambo (USHAURI)

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22 na kwa sasa nipo chuo…. Ninapokuwa likizo nyumbani, huwa napenda kutoka na kutembea na baba yangu kuliko mama yangu.

Nina hili tatizo, nimekuwa nikivutiwa na baba yangu licha ya kujitahidi hali hiyo isitokee inashindikan. Juzi kati wakati mama yangu alipokwenda kwenye harusi nilimshawishi baba na tukaishia kufanya mapenzi.

Kiukweli nina mpenzi ila nimejikuta nikvutiwa zaidi na baba yangu na sielewi ni kwa nini. Najisikia kufanya mapenzi naye tena na tena....

Nifanye nini kuiondoa hali hii....?

Sababu ameniambia mimi ni mtamu kuliko mama (Yeye ni baba yangu wa kambo, ila ni mtamu sana).

Naomba msaada....

6 comments:

  1. hana lolote huyo ni pepo tu ..

    ReplyDelete
  2. Hilo ni pepo na vibaya zaidi uliliruhusu likutawale na mpaka ukamshawishi baba yako na yeye bila woga na kwakuwa hana maadili akakuchojoa nguo akaingia,jaribu kuondoa hayo mawazo mgando

    ReplyDelete
  3. murudie mungu wako kwa dhambi uliyofanya,kua na hofu ya baba ye2 alyembingun

    ReplyDelete
  4. Mpumbavu tu wewe sasa unaomba ushaur wa nn wakat unapenda na umekiri kuwa unapenda

    ReplyDelete
  5. hunajipya mzinzi mkubwa

    ReplyDelete
  6. Ni laana kulala na baba yako ni Matokeo ya kuniacha na kufuata baba na kaka zako hili ni pepo kamili kwa yeyote mwenye kuitaji histori ya malaya huyu nitafute-0755519265

    ReplyDelete