Monday, December 23, 2013

Gabrielle Union na Dwyane Wade Wachumbiana – Icheki Pete Yake ya Almasi [PICHA]


Msichana huyo ambaye ni nyota wa Mary Jane alifunguka kwa kusema mpenzi wake ambaye ni nyota wa mpira wa kikapu toka NBA alizua swali mara baada ya kuionyesha pete yake kubwa kupitia kwenye ukurasa wa Instagram mnamo siku ya Jumamosi.
“Kwa hiyo ndio kusema hili limetokea… #Ndio @dwyanewade,” nyota huyo wa kike wa filamu  aliandika pembeni ya picha hiyo, ambayo inamuonyesha Wade akiwa ameushika mkono wake.

Alisema NDIO!!! @gabunion,” Wade aliposti kwenye Instagram sambamba na picha ile ile.



No comments:

Post a Comment