Sunday, December 22, 2013

Beyonce Kwenye Mtoko wa Kuonyesha [PICHA]


Beyonce akiwa ametoka kwa kuvaa kimini cheusi kinachoonyesha ambacho kimebuniwa na mwanamitindo aitwaye Tom Ford huku akiwa amemechisha na viatu virefu, hii ilikuwa ni kwenye pati ya kusherehekea kutoka kwa albam yake mpya hapo jana siku ya Jumamosi December 21, pati iliyofanyika jijini New York kwenye ukumbi wa shule ya Visual Arts.

Cheki picha zaidi hapo chini.....






No comments:

Post a Comment