Klabu ya Manchester United imethibitisha kwamba mshambuliaji wake Wayne Rooney amesaini mkataba mpya wa miaka mitano.
Mchezajihuyo mwenye umri wa miaka 28 ambaye pia anachezea timu ya taifa ya Uingereza ameongeza mkataba wake wa sasa kwa miaka minne zaidi ambapo sasa atakuwa akilipwa £300,000 kwa wiki.
Rooney aliueleza mtandao wake: "Nimefurahi kila kitu sasa kimekemilishwa na naweza kuendelea kujikita kwenye mpira wangu."
No comments:
Post a Comment