Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa, Dk Charles Msonde akionyesha moja ya michoro ya Freemason iliyojazwa kwenye Mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne 2013 wakati wa kutangaza matokeo hayo jijini Dar es Salaam jana.
Una lolote la kuchangia juu ya matokea haya na vitendo hivi....?
CHANZO: Gazeti MWANANCHI
Uchz uchz
ReplyDeletecjui kwa nn akili ndogo ivoo
yan adhab ingetolewa ndo ingesaidia
maana inashusha hadh ya mtihan wa taifa