Icheki iPhone ya Davido Iliyonakshiwa Vipande vya Dhahabu na Kutengenezwa Maalumu kwa Ajili Yake [PICHA]
Ameshea simu yake ya dhahabu aina ya iPhone kupitia ukurasa wake wa instagram asubuhi ya leo, simu ambayo imetengenezwa maalumu kwa ajili yake. Icheki simu hiyo kwenye picha hapo chiniā¦
Hahaaaaa!!! Pesa nuksi duniani ila kule mbinguni hakuna hichiii
ReplyDelete