Zaidi ya watu watatu wanahofiwa kufa siku ya Jumanne, hii ni mara baada ya roli lenye kontena kuanguka karibu na kituo kimoja cha
basi nchini Nigeria, huku ikihofiwa kuwa watu wengine kadhaa kupata majeraha.
Kwa mujibu wa taarifa, zinaeleza kwamba dereva wa roli hilo
alikuwa anajaribu kulipita gari lingine na gafla kontena hilo lililokuwa tupu
lilichomoka na kuwaangukia abiria waliokuwa kituoni wakisubiri usafiri.
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete