Monday, May 27, 2013

Rihanna Aanika Picha Akiwa Anaoga Kwa Tub (PICHA)


Kama Rihanna anajaribu kutuma ujumbe kwa aliyekuwa boyfriend wake Chris Brown, hakika utakuwa unafika moja kwa moja na live bila chenga.

Nyota huyo wa Pop mnamo siku ya Jumamosi aliiweka picha hii akiwa amevaa bikini bafuni kisha aka-tweet kwa maneno: 'Lil ol me in my big ol tub!!!'

No comments:

Post a Comment