Monday, May 27, 2013

Karrueche Tran Ahamia Kwenye Nyumba Ya Chris Brown


Unaweza kuwaona kama ni vichaa ila ukweli ni kwamba Karrueche Tran na Chris Brown wako kwenye mapenzi motomoto kwa sasa.

Chanzo cha karibu na wawili hao kimeieleza TMZ kwamba, kwa kipindi sasa jamaa wamekuwa pamoja kwa siku kadhaa, na kabla ya birthday ya Chris alipokuwa anatimiza miaka 24 mapema mwezi huu msichana huyo amekuwa akiishi kwenye nyumba ya Chris iliyopo Hollywood toka kipindi hicho.

No comments:

Post a Comment