Tuesday, May 21, 2013

Profesa Jay Ajiunga Rasmi CHADEMA

Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Joseph Haule a.k.a Prof. Jay leo amejiunga rasmi na chama cha CHADEMA.

Washabiki wake kwa mara kadhaa wamekuwa wakitaka kujua msimamo wake kisiasa uko upand gani, hili litakuwa ni jibu tosha kwao.

Mapema leo kupitia akaunti yake ya twitter Prof ali-tweet aliandika ujumbe huu
 
Sugu Na Jay
 

No comments:

Post a Comment