Matonya a.k.a Tonya |
Mwanamuziki
mkongwe wa muziki wa kiazi kipya nchini Matonya a.k.a Tonya Time, hivi
karibuni alijikuta anashindwa kuhimili machungu yake kiasi cha kujikuta
akitumia lugha isiyo rasmi wakati akiwa anafanya mahojiano live kwenye
kipindi cha The Takeover kinachorushwa na kituo cha TBC fm.
Hali
hiyo ilitokea mara baada ya mimi kumuliza kama kuna watu wanahusika kukwamisha maendeleo ya muziki wake,
na wakati anajibu swali hilo huku akionekana kuwa na uchungu juu ya jambo
hilo, Matonya alijikuta akisema neno la kizungu F**k kutokana na kuona kukwazwa
na watu alioshindwa kuwataja.
"Kuna
watu wapo kwa ajili ya kuziba riziki za wenzao ila mimi nasimama
kupambana nao ila inasikitisha sana kwa nini iwe hivi... f**k" alisema
Matonya.
Kwa sasa Matonya ana wimbo mpya ambao siku hiyo alifika studio kuuzindua rasmi, wimbo unaokwenda kwa jina la UTATA.
Kwa sasa Matonya ana wimbo mpya ambao siku hiyo alifika studio kuuzindua rasmi, wimbo unaokwenda kwa jina la UTATA.
Hahahaaa!hiz ni zama za ukweli na uwazi kama vp wawe wanatajwa wazi!
ReplyDeletehatariiiiiiiiiiiiiiii
ReplyDeleteWEKA AUDIO DOGO
ReplyDeleteWANADHARAU SANA HAWA WASANII HASA WANAPOKUWA JUU WAKISHUKA NDIO WANAPELEKA KAZI STESHENI ALIPOKUWA JUU ALIZANI HAWATAMTOSA KAMA ALIVYOMTOSA LADY JD AKAFIE MBELE KILAZA HUYO
Delete