Monday, May 20, 2013

Ewe Mungu Baba Mbariki Anayesoma Hii

Mpendwa Mungu Baba....
Nakuomba Umuongoze na Umlinde yeyote anayesoma hii.....

Yeye kwa Uwezo na Baraka zako Hatotaabika kwenye Maisha haya, na Atabarikiwa pamoja na vizazi vyake kwa uwezo wako....

Changia kwa kuandika "Amen" kama Unaamini kwenye Maombi.....


1 comment: