Mary J. Blige |
Habari moto kwa sasa ni hii inayomuhusu ya Malikia wa Hip-Hop Soul, Mary J. Blige, kwa mujibu wa TMZ inasemekana kwamba, Blige anatuhumiwa kwa kutolipa kodi zake zote za mwaka 2009, 2010, na 2011.
I.R.S. imesema kwamba mwimbaji huyo wa wimbo wa “I’m Goin’ Down” anadaiwa kiasi cha dolla za Kimarekani zipatazo 3,426,255.43.
No comments:
Post a Comment