Tuesday, May 21, 2013

French Montana Kuzindua Album Yake Siku Aliyozaliwa Notorious B.I.G

Frenc Montana
French Montana anategemea kutoa albam yake mnamo May 21 siku ambayo nguli wa Hip-Hop Notorious B.I.G alizaliwa na siku ambayo rafiki yake aitwaye Max B nayo alizaliwa.

Msanii huyo wa Maybach/Bad Boyd anategemea kufanya uzinduzi huo ndani ya klabu moja iliyopo Miami iitwayo Club Bamboo, huku ikifanyika bonge moja la pati kwa ajili ya uzinduzi wa albam hiyo itakayoitwa Excuse My French.

Pati hiyo itawajumuisha pia DJ Khaled, Ace Hood, Bobby V, Shawn Jay wa Field Mob na wengineo.

No comments:

Post a Comment