Mtazame Kwa Makini Mtu Nyuma Ya Huyu Dada |
Je hii inaweza kuwa kweli..?
Picha hii ilitumwa na msomaji
mmoja wa Blog, ambaye alisema ameuona mzimu kwenye kamera alipokuwa anampiga
picha demu wake kwenye club.
Kama utajaribu kumuangalia kwa makini mwanaume anayeonekana
nyuma ya huyo msichana, utagundua kama hana miguu.
No comments:
Post a Comment