Wachumba wawili hivi karibuni wanatarajia kufunga ndoa na
kutengeneza historia ya kuwa watu wawili wenye jinsia mbili kufunga ndoa ndani
ya Uingereza.
Mwanzoni Helen Morfitt, 56, alianza maisha akijulikana kama Leslie,
anategemea kumuoa Felix Laws, 46, ambae mwanzoni alikuwa anaitwa Katy, mnamo
mwezi septemba mwaka jana.
Wawili hao kila mmoja alishawahi kufunga ndoa kwa zaidi ya
mara nne, huku Hellen akiwa amezaa watoto wanne na Felix akiwa na watoto nane
kutoka kwenye mahusianao ya awali.
Wanategemea kubadili jinsia zao kwenye vyeti vyao vya
kuzaliwa, kuwafanya waweze kuoana, huku tarehe ikipangwa kuwa 13 Septemba kama
tarehe rasmi ya ndoa yao.
No comments:
Post a Comment