Friday, February 14, 2014

Mwanamke Huyu Alikuwa na Shauku ya Kuwa na Dimpoz na Zimemgharimu £3000 Kuzipata - Angalia Upasuaji Wake [PICHA]

Mwanadada huyu ambaye anasomea sheria ajulikanaye kwa jina la Cherrelle Campbell (picha hapo juu) alikuwa na hamu sana kuwa na dimpoz. Hakukuwa na njia mbadala zaidi ya kufanya upasuaji wa mashavu yake ambao uliomgarimu kiasi cha £3,000 ili kuweza kufanikisha zoezi hilo.

Shuka chini kuangalia picha alipokuwa akifanya oparesheni....
Cherelle akionyesha dimpo zake siku baada ya kufanyiwa upasuaji
Cherelle  akifanyiwa upasuaji kwenye mashavu yake

No comments:

Post a Comment