Saturday, October 19, 2013

Wapenzi Wakamatwa kwa Kufanya Ngono Live Kwenye Ndege (PICHA)


Wapenzi wawili wamekamatwa kutokana na kitendo cha kufanya ngono ndani ya ndege.

Kwenye shitaka lao, wawili hao walipatikana na hatia hivyo kila mmoja alitozwa faini ya $250 kutokana na kitendo hicho kilichotokea wakati ndege hiyo ilipokuwa inatoka Medford, Ore., kwenda Las Vegas.

Wapenzi hao walitozwa faini hiyo mnamo June 21, huku ikielezwa, abiria walishuhudia mwanaume aitwaye Christopher Martin, akijiachia kwa raha zake kwa kufanya mapenzi na mwenza wake aitwaye Jessica Stroble, licha ya onyo lililotolewa na wafanyakazi wa ndege hiyo wenza hao waliendelea kufanya yao.

Baadaye Martin aliomba msamaha kwa wale walioumizwa au kukwazwa kutokana na kitendo hicho.

4 comments:

  1. Wewe acha uongo hiyo ni video haihusu hivyo sasa wewe umechukua picha kunogesha blog yako i'm really not acknowledged with it hiyo video inaitwa don't judge too quickly huyo mdada alianguka bahati mbaya ila uki judge quickly utaona wanasex kama mnabisha nenda www.phoneky.com shuka kwa chini utaiona by the Master Reciplay{0764732400}

    ReplyDelete
  2. When you just post something you are firstly required to guess that thing you post is real or not if you aren't sure just think to post that you have reality with i perceive there's most of blogs making competition but often i don't believe things that can be posted like you the founder of this blog just rectify thyself i'll be one of your member there's a lot of things you deceived from the Master Reciplay aka noma you may find me through(0764732400) then i'll give indispensable things to post but i'm frightfully sorry my brother if i've bored you best wishes

    ReplyDelete