Monday, April 07, 2014

Mcheki Nicki Minaj Alivyojichora Tattoo Ili Awe na Muonekano wa Kigumu kwa Ajili ya Kushuti Video ya ''Senile''

Kwenye video ya “Senile” ambayo anaitengeneza kwa sasa Nicki Minaj hataki kuwa na muonekano aliozoeleka kuonekana.

Rapa huyo wa Young Money rapper amejichora tattoo naa kujibadili kuwa kama mademu wagumu toka latina huku akiwa amevaa br'a ya Moschino na nguo ya ndani ya Chuck Taylors, red bandana, huku akiwa ameji-bling kwa nakshi za dhahabu mwili mwake.

Cheki picha zaidi hapo chini...






No comments:

Post a Comment