Sunday, May 25, 2014

Cheki Picha za Harusi ya Kanye West & Kim Kardashian [PICHA]

Hii ni mara ya tatu kwa Kim kuolewa ila kwa Kanye West hii ni mara ya kwanza. Hatimaye wawili hao walifunga pingu za maisha mnamo siku ya Jumamosi May 24 pande za Fort di Belvedere ndani ya Florence, Italy.

Baadhi ya wana familia na marafiki walikuwepo ila ni wale ambao Kanye West kweli aliwahitaji, na baadhi yao hawakufika. Jay Z na Beyonce wa waliingia mitini.

Cheki picha zaidi hapo chini...





Hongera kwao tukiamini kwamba safari hii kweli KIm yupo kwenye mapenzi ya kweli.

No comments:

Post a Comment