Wednesday, November 27, 2013

Mwanamke Apagawa Jukwaani..... Bila Kuficha Aonyesha Sehemu Zake Nyeti Akiwa Anacheza [PICHA]


Mungu wangu, hivi huyu hawezi kuwa ni mama wa mtu kweli...? Mtoto wake atajisikiaje atakapokutana na mazingira haya...?

Hakika ni aibu sana kwa mwanamke kama huyu ukilinganisha na umri wake pia.

Cheki picha hapo chini......
 

Tusemeje sasa kama sio uchizi...?

5 comments:

  1. hayo ndo matokeo ya kupuuzia maadili kwa kizazi hiki eti utandawazi....na bado sanaa!

    ReplyDelete
  2. Acha aoneshe ladha.cku hz cyo sehemu nyeti tena,ni public tu

    ReplyDelete
  3. Mimi jana j3 nimemkuta mdada analia kama mtoto mdg kwenye ukuta njia n kisa mpenzi wake hatak kumuelewa kwahy ss bhana wanaume 2napendwa sana

    ReplyDelete