Wednesday, April 09, 2014

Justin Bieber Apewa Zawadi ya Gari Aina ya Buggati Yenye Thamani ya $2 Million na Birdman

Mwanamuziki huyo mahili wa miondoko ya pop aliposti kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo siku ya Jumatatu asubuhi.

Akiweka maneno haya kwenye picha hiyo:

'Uncle Stunna luv. My first Bugatti #generosity'.


Zawadi ya Bugatti ya Birdman kwa Bieber ina thamani kama ya $2 million.

No comments:

Post a Comment