Thursday, December 19, 2013

Ujinga Waufanyao Baadhi ya Wanafunzi wa Kike Wanapokuwa Mbali na Wazazi [PICHA]


Wazazi, ni vyema kwenu kujijengea mazoea na utaratibu wa kuwa karibu na watoto wenu hasa linapokuja suala la mahusiano yao na marafiki.
Inawezekana kabisa kuharibikwa kwa mwanao kukatokana na aina ya watu anaokuwa nao karibu, kitu ambacho naamini kama mzazi usingependa kitokee kwa mwanao.


Utajisikiaje ukikuta aina hii ya picha ya ndugu yako....?



No comments:

Post a Comment