Tuesday, May 14, 2013

Wanawake Watatu Wakamatwa Supermarket Kwa Kuficha Bidhaa Sehemu Za Siri

Kisanga kilitokea  ndani ya Supermarket ya Johari, mara baada ya wanawake watatu kukamatwa na bidhaa walizozificha kwenye sehemu zao za siri.
 

Wanawake hao watatu walikuwa wamevaa nadhifu ila walinaswa na kamera za CCTV ambazo zilikuwa zimewekwa kwenye supermarket hiyo iliyopo Nairobi Kenya.

Kwa mujibu wa chanzo kimoja, wanawake hao ambao waliokuwa wamevaa nadhifu, waliingia kwenye Supermarket hiyo wakiwa kawaida kama wateja wengine na kuanza kuzunguka kama vile walikuwa wanatafuta kitu maalum.

Mwisho wa siku walichukuliwa na kupelekwa kwenye Kituo cha Polisi cha Embakasi kutoa maelezo.

No comments:

Post a Comment