Tuesday, May 14, 2013

Sababu Ya Roberto Mancini Kutimuliwa Man City Ni Mahusiano Mabaya

Ameelezwa kwamba Roberto Mancini alitimuliwa kazi kama Meneja wa Manchester City kutokana na udhaifu wake kwenye suala la mahusiano na Wachezaji pamoja na Viongozi.

Kushindwa kwake kuwa na umakini wa kutosha katika kukuza vipaji vya wachezaji wadogo wa timu hiyo, pia ni moja kati ya sababu zilizopelekea Muitaliano kupigwa chini.

Mhalili wa Michezo wa BBC, David Bond, ameeleza kwenye makala yake.


Je, wewe unaonaje..?

No comments:

Post a Comment