Tuesday, May 14, 2013

Unawakumbuka Naughty By Nature...

Naughty By Nature
Wanaitwa Naughty By Nature, kama si mfuatiliaji mzuri wa Hip Hop za Kimarekani unaweza kudhani ya kwamba jamaa wamefutika na hawapo kabisa kwenye gemu kwa sasa, ila hiyo sio kweli jamaa bado wapo!
 
Licha ya kwamba Treach na Vinnie wamekuwa kwenye bifu la hapa na pale huku Treach akitangaza kumpiga chini Vinnie nje ya kundi, kwa pamoja wanategemea kuwa na ziara ya kwenye miji mbalimbali nchini Marekani hivi karibuni sambamba na mwenzao Kay Gee.

No comments:

Post a Comment