Friday, May 10, 2013

PENZI LA KWELI: Wawili Waliokutwa Wamekufa Baada Ya Jengo Kuanguka (PICHA)

Walikuwa ni sehemu ya watu 900 waliofariki kwenye jengo la kiwanda lililoporomoka jijini Bangladeshi nchini India.

Picha hii ya wawili hawa, inaonekana kugusa watu wengi waliopata bahati ya kuiona, huku ikisambaa kwa kasi kwenye mitandao mbalimbali duniani.

Zaidi ya watu 900 wamefariki kwenye tukio hilo, huku zaidi ya watu 2,500 wakiwa wamejeruhiwa kwenye tukio hilo lililotokea nchini India kiasi cha mwezi mmoja uliopita.

No comments:

Post a Comment