Thursday, June 06, 2013

Maelfu Wajitokeza Kumzika Ngwear Moro Akiwemo M2 The P (PICHA)

Umati wa watu waliofika uwanjani hapo
 
Gari ya Joel Bendera Mkuu wa Mkoa Ikiwasili
 
Jeneza la Ngwear
 
M 2 The P Rafiki Aliyekuwa na Ngwear Siku ya Mwisho
 
Afande Sele Akiongea Uwanjani Jamuhuri
 Picha zote kwa hisani ya Global Publishers....

No comments:

Post a Comment