Friday, May 10, 2013

Hongera G Lover Kwa Kuadhimisha Miaka 17 Ya Ndoa

G Lover ameandika hivi kwenye facebook

Oooops Ohhh Gosh Its 10th Of May 2013...& Its A 17th Yrz Of Our Marriage Mr & Mrs Gulu R. Nanji... Happy annivesary 2 us...Plz Allah Tujaalie Sisi Waja Wako Tuishi Kwa Miaka Ya Wewe Uipendayo Katika Dunia Hii & Tulee Watoto Wetu Vizri Na Kuishi Na Family & Friends Vizuri...Thank God 4 Evr Things hadi 2day Twasheherekea Miaka 17 Ya Ndoa Yetu...God Bless Us Family & Friends 2...I Love Ma Wife & We Love U Ol...Yani Ni Kama Jana Tu Lakini Ni Miaka 17 Aaaaaah I Luv It & Happy 2

Picha zaidi kwa kumbukumbu hii zicheki hapo chini




1 comment:

  1. HONGERA SANA ZAKE KAKA YETU G LOVER

    ReplyDelete