Friday, May 17, 2013

Mwanamke Huyu Mwenye Miaka 32 Anataka Kufunga Ndoa Na Mvulana Wa Miaka 24

Mtangazaji wa zamani wa Channel O, Nonhle Thema, anatarajia kufunga ndoa na baba wa mtoto wake mwenye miezi sita aitwaye Arthur Bolton, jamaa ambaye ana umri wa miaka 24. Miaka minane zaidi ya mwanake huyo.
 

Wote wawili kwa sasa wanaishi pamoja ila watu wameanza kuleta lawama...
 

Wanaishi pamoja na mtoto wao kwenye sehemu ya kitajiri ndani ya jiji la Johannesburg, Afrika Kusini.

Wawili hao wamekuwa kwenye mahusiano toka mwaka 2010 na waanapanga kuoana ndani ya wiki chache zijazo.

Upi mtazamo wako juu ya hili suala..?

1 comment:

  1. mapenzi hayaangalii umri mbwiga ww....sijakuelewa opinion gani unataka...kwhy acha walea mwanao kama wanamapenzi ya dhati...

    ReplyDelete