Friday, May 17, 2013

Kwa Nini Wanaume Wa Bongo Wanapenda Wanawake Wenye Maumbo Makubwa..?Ni mara nyingi tumekuwa tukiafahamu kwamba Wanaume wengi wa Kiafrika huwa wanawapenda Wanawake wenye miili mikubwa, na sio kama wale mamodo wembamba wanaowekwa kwenye makava ya majarida mbalimbali ya za Magharibi.

Hebu nieleza ni kwa nini Wanaume wengi  wa Bongo na Afika kwa ujumla hupenda Wanawake wenye shepu na makalio makubwa…?

No comments:

Post a Comment