Friday, May 17, 2013

Mwanamitindo Asema Yeye Ndiye Baba Wa Mtoto Wa Kourtney Kardashian

Mwanamitindo Michael Girgenti kwa muda sasa amekuwa akisema kwamba yeye na sio Scott Disick kama ndiye baba mzazi wa mtoto wa Kourtney Kardashian aitwaye Mason.

Girgenti amelieleza jarida la Star kwamba alimuandikia barua Kourtney kumtaka wakafanye vipimo vya DNA kwa ajili ya mtoto huyo ama sivyo atamfungulia mashtaka.

No comments:

Post a Comment