Wednesday, May 15, 2013

Aliyekuwa Billionea Wa Naomi Campbell Asonga Mbele Na Mtoto Mwenye Muonekano Kama Wake

Wote mnafahamu kwamba Naomi Campbell alishatamka juu ya kutemana na billionea wake wa Ki-Russia ambaye walikuwa pamoja kwa miaka mitano.

Japo Naomi Campbell na Vladimir Doronin wamekuwa kimya juu ya mahusiano yao kwa sasa. Inaonekana kwamba billionea huyo ameamua kujiachia kimoja, baada ya kuonekana akiwa anakula bata kwenye pwani ya Maimi, akiwa na msichana mmoja mkali mwenye muonekno wa kama Naomi Campbell .

No comments:

Post a Comment