Friday, May 17, 2013

Kutana Na Nyota Kucheza Sinema Za Ngono Toka Nigeria

Afrocandy
Mpaka sasa naamini utakuwa umeshawahi kusikia kuhusu mkanganyiko wa maisha ya nyota wa Kinigeria wa sinema za ngono aitwae Judith Magazgwu a.k.a Afrocandy, ambaye ilifika kipindi aliamua kumtema mume wake wa ndoa ili aweze kuishi maisha ya uhuru zaidi.

Kwenye mahojiano ya hivi karibuni na gazeti la Daily Sun, mume wake wa zamani, Mr Bolton Elumelu alifunguka akizungumzia juu mtindo wa maisha yake machafu na vile alivyokuwa anamsaliti mpaka kukimbia kwenye ndoa.


Mwisho wa siku alikuja kufunguka huku akimtuhumu kwa tabia yake mbaya ya kubadilisha wanaume kama nguo.

Huyo hapo kwenye picha ndiye Afrocandy....

No comments:

Post a Comment